Yani hawa wanashindwa kuangalia vitu vyakutusaidia nakuwa makini kama na mawaziri kama mpina anasema wavuvi warudishiwe malizao bila mashariti yoyote sasa wanaotekeleza wanasema engine nilazima zikombolewe lakini generector mataa ndio vitatoka bure sasa amesema wapewe Mali zao bila mashariti...
Nimesoma na kuona kuwa unauliza swali lisu analitakia nn taifa jibu utajibiwa kwaswali je umewahi kujiuliza taifa lilikuwa linamtakia nini lisu tena maeneo ya bunge mpaka sasà hatujasikia uongozi haswa kwawale waliopewa dhamana yakulinda taifa na maeneo nyeti kama haya wakiwajibika kwasababu ya...
Hata Mimi nasema alichosema nape niukweli mtupu kwamfano wavuvi wengi ziwa Tanganyika hawavui uvuvi haram matokeo yake serekali imetuma wahuni wamechoma nyavu na kuteka vyombo vingine vya uvuvi kama vile engine mataa na geretor mwanzoni walisema watu wenye vifaa ilikuvipata tena lazima watoe...
NTE="Azarel, post: 30246135, member: 383171"]UCHAGUZI UMEKARIBIA.....!
Kura zinabembelezwa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niwe muwazi kura yangu nafamilia yangu pamoja nawavuvi wangu hawapati hadi hasara walionipa bilakosa lolote warudishe naomba kwahili wavuvi wenzangu mniunge...
QUOTE="Retired, post: 30245620, member: 376984"]Habari ndiyo hiyo. Kila mmoja anaruhusiwa kuvua, bila leseni. Ni kweli mnapendwa na serikali au kuna kitu nyuma yake. Sensing something ahead that will need poorman's support? Unaunda tatizo, then unajifanya kulitatua!
Sasa nyavu zetu tenahalali...
Unachoongea sijuwi umefanya utafiti au unabwabwaja tu kasome kitabu kimeandikwa kanisa katoliki nasiasa za t bara kumekuwa nauvumi kuwa waislamu hawakusoma ndio maana mpaka leo teuzi zina upande kuhusu teuzi rais hupelekewa majina ateuwe sasa wikiwa wanaopendekezwa hamna Islamic huleta majina ya...
Hilo jina lahuo mtaa watumie wanao muhusu kunaubaya gani wengine tuite jina lingine waowatumie hilo sisi tutauita jina lingine kwani lengo nikutugawa naonaudini unapandikizwa kwa nguvu sana hata teuzi sikitu kizuri tujenge umoja sio kutugawa
HV nikwanini kilamnapo fanya jambo laupendeleo wakidini mnakuja na hoja kwani kunafaida gani faida ipokuna kizazi kingingine kinakuja baada yasisi nahakuna kisichokuwa nafaida kwa kila kinacho wekwa wanataka baadae wawafute waislam katika nchi hii ndiomaana kila kitu kikubwa kinaitwa nyerere...
Sinahakika mtoa mada kamakichwani zinakutosha unasema anashughulikia kero haswa hapo kwa wavuvi huku ziwa Tanganyika tumeshangazwa sana nakitendo cha kuchoma nyavu zetu halali bilakuufata utaratibu tena wamekuja SAA 12 jioni bilakuchelewa saa 2 usiku wakawa wamechoma nyavu kibao hamna kupima...
Sasa huu muswada nikwafaida yanani kwamaana wapinzani hawautaki nabaadhi ya wanaccm haswa wabunge nao hawautaki naona rais nagenge lake ndio wako bize nao kuamini kuwa ccm haitegemei mtu au watu hojayako inamashaka jambo lipowazi kabisa muswada huu kunakitu umelenga umenunua wanachama madiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.