Hodi humu waungwana
Ili chama chochote cha kisiasa kiweze kupata ushindi mnono katika chaguzi mbalimbali, kuna mbinu na mikakati(tactics and strategies)
Lakini kuna umuhimu wa kubaini mambo yenye kuvutia mijadala katika jamii na kuyawekea mkakati.
Katika kukihakikishia ushindi katika chaguzi zilizoko mbele yetu,yaani zile za serikali za mitaa mwaka huu 2019 na uchaguzi mkuu ujao wa 2020 ,Jemedari na kamanda mkuu Rais John Joseph Pombe Magufuli anafanya kazi nzuri ya kuzishughulikia kero,changamoto au matatizo yanayokabili makundi ya kijamii.
kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kijamii,kisiasa na kiuchumi yafuatayo yalipaswa kushughulikiwa na JPM kuelekea 2019 na 2020,wachambuzi hao wanaduazwa na namna JPM anavyoyafyekelea mbali
1.Kikokotoo-hapa amemaliza kazi 100%
2.Issue ya korosho-hapa amefanya kazi nzuri,hatahivyo bado kuna malalamilko kadhaa,hayo malalamiko yasipuuzwe.
3.Mishahara ya watumishi wa umma iongezwe angalau kwa asilimia 10%naamini na hili atalifyekelea mbali.
4.Mzunguko wa fedha,yaani Money circulation,hili limeanza kufanyiwa kazi.
5.Uvuvi-kulikuwa na kilio hasa kanda ya ziwa kutokana na wavuvi kuchomewa nyavu zao,serikali hii sikivu imeanza kulishughulikia,
6Ubomoaji-hili linashughulikiwa,Mhe Rais amenikosha baada ya kutoa agizo kuwa waliojenga kwenye hifadhi wasibomolewe nyumba zao bali wapewe hati.
7.Makato ya asilimia 15% kwenye mishahara ya wanafunzi wa vyuo kutokana na mikopo wa elimu ya juu ipunguzwe angalau mpaka 8% kama ilivyokuwa zamani.
8.Ajira-Serikali imwage ajira kwa wingi.Hapa kuna umuhimu mkubwa sana wa kutoa takwimu za ajira zitakazobainisha idadi ya ajira mpya zilizopatikana katika sekta rasmi na isiyo rasmi toka tuanze utekelezaji wa ilani ya 2015-2020
9.Madini-Nyote ni mashahidi wa tukio la leo,hili amelifyekelea mbali.
10.Kuondoa ukuta uliokuwepo kati ya serikali na viongozi wa taasisi za dini hapa nchini-hili linakwenda vizuri sana.
11.Mikopo kwa vikundi ya wajasiriamal-Bado kidogo,serikali iongeze kasi katika hili.
katika kubaini mambo yanayovutia mijadala katika jamii,mikakai mingi imefanyika katika maeneo kadha wa kadha mfano ni Tanzania ya viwanda,Demokrasia na haki za binadamu na rushwa.
Kwa hali ilivyo ni afadhali Chadema na wenzao wajitoe kwenye uchaguzi mkuu ujao kwani watakumbana na aibu na zahama ya karne.
Mungu atupe uhai.