Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,995
- 103,377
Uchaguzi hauzuii serikali kutatua shida za wananchi
Hizo shida ndio wamezijua sasa? Bado mnatumia mbinu za kizee miaka hii?
Uchaguzi hauzuii serikali kutatua shida za wananchi
Kila siku inaleta changamoto mpya na si kila changamoto inatatulika kwa siku moja...ndiyo sababu, kwa mfano, changamoto ya makao makuu ya chadema kwa takribani miaka 24 sasa bado haijatatulika na chama bado kimepanga pale Ufipa kwenye kile kijumba licha ya chama kukua na ruzuku kuongezeka.Hizo shida ndio wamezijua sasa? Bado mnatumia mbinu za kizee miaka hii?
Karibu sana kamanda. Mchango wako katika ujenzi wa taifa ni muhimu. Serikali sikivu inatatua changamoto na shida za wananchi kila muda wakati wote wa mwakaKwi! Kwi! Kwi! Mungu ibariki Twaweza
Kila siku inaleta changamoto mpya na si kila changamoto inatatulika kwa siku moja...ndiyo sababu, kwa mfano, changamoto ya makao makuu ya chadema kwa takribani miaka 24 sasa bado haijatatulika na chama bado kimepanga pale Ufipa kwenye kile kijumba licha ya chama kukua na ruzuku kuongezeka.
Kwa hiyo hoja yako ni kwamba ruhusa ya uvuvi isitolewe au msimu wa uvuvi usifunguliwe kwa vile ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa?Kwa hilo la ofisi ya cdm uko sahihi hapa sipingi kwamba cdm wamechemsha kutokuwa na ofisi. Ila hilo halipunguzi ukweli kuwa hizi ruhusu za sasa ni rushwa za uchaguzi fullstop.
Kwa hiyo hoja yako ni kwamba ruhusa ya uvuvi isitolewe au msimu wa uvuvi usifunguliwe kwa vile ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa?
Kwani idadi ya hao wavuvi ni kubwa kiasi gani mpaka wahongwe?Toeni ruhusa hata ikibidi wagaieni hao wavuvi boat za kisasa za uvuvi, ila ukweli uko pale pale kwamba ni rushwa ya uchaguzi.
Kwani idadi ya hao wavuvi ni kubwa kiasi gani mpaka wahongwe?
Umeongea hapo ninachozungumzia Mimi niziwa Tanganyika umeomba zana zauvuvi zisalimishwe watu wametekeleza unapima nyavu unasema zipo sawa ndizo zinaruhusiwa kisheria alafu unauliza mwenyewe yupo wapi unaambiwa anaishi mjini kisha unasema kama hayupo atakuta jivu sisi tumetumwa pesa sio hivyo vigezo watu wamepigwa sana kama wanyama pamoja na kusalimisha nyavu zao hatari sanaHapana kiongozi, overfishing haisababishwi na nyavu pekee, namna kubwa inayoathiri ukuaji wa samaki ni pamoja na masaa ambayo meli ya uvuvi inakuwa baharini ikivua na namba ya vessels zinazokuwa baharini at any moment in time.
Ndio maana njia ya kisasa ambayo ni kweli haikuwepo sana huko nyuma ni Kufanya quotas and seasonal fishing. Hivyo huo utaratibu wa Serikali upo na ndio unaoshauriwa kutumika. Kwa uelewa zaidi isome concept ya tragedy of the common in fishing industry. Kwa Machache hayo nadhani ni sahihi kabisa utaratibu huo kufanyika unless otherwise siasa ziingilie kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hata wanachadema wanahongeka na watahongwaSio pekee watakaohongwa.
Basi hata wanachadema wanahongeka na watahongwa
Wavuvi wetu wanauwezo sawa na wale wa nje?Habari ndiyo hiyo. Kila mmoja anaruhusiwa kuvua, bila leseni. Ni kweli mnapendwa na serikali au kuna kitu nyuma yake. Sensing something ahead that will need poorman's support? Unaunda tatizo, then unajifanya kulitatua!
Ni lini uvuvi ulizuia samaki kukua?Ilifungwa kwa muda ili kuruhusu samaki kukua
nashangaa, enzi na enzi sijawahi sikia. Uchina yenye watu 1.4 bn, means ina wavuvi wengi, lakini haijawahi zuia uvuvi!
Nimeishaona sehemu mbali mbali duniani wanavua kwa msimu,wala si jambo geni.Faida zake ziko wazi.Nakubali......... lakini from time immemorial kulikuwa hakuna mazuio kama hayo na samaki hawajawahi kuisha. Why today? particularly under this regime? Kukua kunakuwa determined na size ya nyaavu na si kuwazuia watu kuvua. Unakataza matumizi ya nyavu fulani, siyo kukataza kabisa kuvua!
Samaki wa Tanzania wanaheshimu mipaka ya nchi.Bahari inafungwa Tz tu? Huko Australia, India, Arabuni, Mozambique, SA nk mbona huwa hawafungi? Samaki wana migrate kutoka eneo moja kwenda lingine kutokana na hali ya hewa na majira pia.
Tuseme tu chaguzi zimefika sasa ni muda wa sheria kuwekwa pembeni na watu wazoee unafuu kisha watachukua na kutia waaa.
Sent using Jamii Forums mobile app