Sasa mtu utakuta hela hana,kula yake mbovu na bange yenyewe mpaka aende maskani akagongee wana,ataacha kudata huyo?
Bange kama pesa ya uhakika unayo na huna stress 😩 za hovyo haiwezi kukuzingua hata siku moja.
Mkuu inaonekana ww kidogo una chuki na Uislamu kwa mujibu wa sentence yakoyamwisho.
Halafu inaonekana huna uelewa wowote na masuala ya ships construction.
Meli au boat kukatwa vipande na ku-assemble upya haimaanishi kuwa itakatwa yote kama vile inapokatwa kwa ajili ya scraper.
Tena kwa boat...
Mimi naona kujaza ukumbi si tatizo,je kiingilio kilikuwa sawa na hao walioandikwa majina yao kwenye hicho cheti?(Adele,Jay-Z,Kendrick Lamar,Spice Girls n.k)inawezekana kiingilio kilikuwa rahisi ndiyo maana watu wakajaa.
Kwa waliokuwemo ukumbini watuambie tufahamu.
Pale Cairo ni noma!!!,wazee wa bakshish 😃 😀 😄 😁 hata ukiwa na kibegi chako kidogo cha mgongoni mtu anafosi akubebee halafu anakwambia 'bakshish bakshish'!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.