Recent content by bottleneck

  1. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Siridhishwi na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Ujumbe mzuri
  2. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Helasita Secondary: Job Vacancy Dec 2022

    HELASITA SECONDARY SCHOOL: JOB VACANCY ADVERTISEMENT Helasita Secondary School is looking for highly qualified, and experienced competent teachers and support staff to fill the following vacancies; 1. Physics & Mathematics (1post) 2. Commerce & Bookkeeping (1post) 3. English &...
  3. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Patron is needed (2 Posts)

    Mshahara hauulizwi kwenye mtandao, wewe huna shida ya kazi
  4. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Patron is needed (2 Posts)

    Helasita Secondary School iliyopo wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam bado tunahitaji mlezi wa vijana wetu (Patron) hivyo bado nafasi ipo wazi tunaendelea kumtafuta mtu huyo. Priority ni kwa aliye somea maswala ya Community Health, Nursing, Sociology ama course yoyote inayohusiana na jamii...
  5. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga kidato cha kwanza Jan 2021

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JAN 2021 Shule ya Sekondari ya wavulana Helasita iliyopo Jijini Dar es Salaam inapenda kuwatangazia ndugu wazazi/walezi kuwa bado kuna nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2021 na kwamba usaili unafanyika shuleni Helasita. Pia zipo nafasi...
  6. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Muziki studio vinauzwa

    Weka picha vifaa vyote Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu uhusiano uliyopo kati Radi na kisamvu

    Niukweli mtupu, vijana umizeni vichwa, wahenga walikuwa hawakosei:- Kisamvu hutwangwa nje, hivyo kama mvua inanyesha upo uwezekano wa ku attract umajimaji kwenye mtwangio pamoja na kinu. Urefu wa mtwangio na urefu wa mtu anayetwanga kwa kusimama huvutia radi kupenya na kuleta madhara...
  8. bottleneck

    JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Mganga: Mbunge Lema kuchukuliwa hatua kwa kupotosha vifo vya watu 14 Manyoni, Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wazushi na wazua taharuki

    DPP amekuwa mwanasiasa tena, maana anavyo ongea anaonekana kama ana mrengo fulani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za uwalimu katika shule ya Helasita

    Ahsanteni wote mliotuma application zenu, waalimu walisha patikana baada ya kufanyiwa interview hivyo nafasi hizi zimefungwa. Itakapo tokea nafasi nyingine tutapeana taarifa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za uwalimu katika shule ya Helasita

    Pm ni kwa ajili ya clarification na maelezo mengine ya ziada, hakuna swala la ulaji kama unavyo dhani. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. bottleneck

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA KUFUNDISHA BIOS NA CHEMISTRY SHULE ZA BINAFSI ZINAZOLIPA VIZURI

    Nicheki pm Sent using Jamii Forums mobile app
  12. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Competent teacher in English anatafuta kazi

    Experience yake ipoje Sent using Jamii Forums mobile app
  13. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za uwalimu katika shule ya Helasita

    Shule ya Helasita Sekondari iliyopo Mtoni Kijichi - Temeke jijini Dar es salaam, inatangaza nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo. Physics/Mathematics (nafasi 1) Biology/Chemistry (nafasi 1) Maombi yote yatumwe kupitia email ya shule ambayo ni:- info@helasitasecondary.ac.tz Pia...
  14. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumchagua Askofu Mwandamizi uliwahishwa?

    Askofu Cardinali Pengo anaonekana bado anayo nguvu ya kulitumikia kanisa, leo ameongoza ibada ya kubariki mafuta ya Krisma takatifu ibada iliyofanyika katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph. Kama askofu Pengo bado amekalia kiti cha uaskofu, kulikuwa na haja gani ya kumteuwa askofu mwandamizi...
  15. bottleneck

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeendelea kushabikia upinzani Tanzania apaswa kupimwa uelewa wake!!

    Wewe ndio jingalao Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom