bottleneck
Member
- Oct 13, 2016
- 43
- 13
NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JAN 2021
Shule ya Sekondari ya wavulana Helasita iliyopo Jijini Dar es Salaam inapenda kuwatangazia ndugu wazazi/walezi kuwa bado kuna nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2021 na kwamba usaili unafanyika shuleni Helasita.
Pia zipo nafasi chache za kuhamia kwa wanafunzi wa kidato cha pili na cha tatu. Kwa maelezo zaidi fika shuleni Temeke-Mtoni Kijichi au wasiliana nasi kupitia
Simu: +255 692 372 920 / +255 766 961 564
Email: info@helasitasecondary.ac.tz
website: Helasita Secondary School | Aspire | Conquer | Lead