Nafasi za kazi za uwalimu katika shule ya Helasita

bottleneck

Member
Oct 13, 2016
42
13
Shule ya Helasita Sekondari iliyopo Mtoni Kijichi - Temeke jijini Dar es salaam, inatangaza nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo.

Physics/Mathematics (nafasi 1)
Biology/Chemistry (nafasi 1)

Maombi yote yatumwe kupitia email ya shule ambayo ni:-

info@helasitasecondary.ac.tz

Pia unaweza kuleta kwa njia ya mkono shuleni Helasita.

Maombi yatumwe mapema iwezekanavyo.

Karibuni, pia tunaweza kuwasiliana kwa njia ya PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ya Helasita Secondari iliyopo Mtoni Kijichi - Temeke jijini Dar es salaam, inatangaza nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo.

*Physics/Mathematics (nafasi 1)
*Biology/Chemistry (nafasi 1)

Maombi yote yatumwe kupitia email ya shule ambayo ni:-

info@helasitasecondary.ac.tz

Pia unaweza kuleta kwa njia ya mkono shuleni Helasita.

Maombi yatumwe mapema iwezekanavyo.
Karibuni, pia tunaweza kuwasiliana kwa njia ya pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangazo Lina uwalakini y pm wakat maomb n kwa email kueni crias mda mwingne
 
Ahsanteni wote mliotuma application zenu, waalimu walisha patikana baada ya kufanyiwa interview hivyo nafasi hizi zimefungwa.
Itakapo tokea nafasi nyingine tutapeana taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom