Recent content by bossbae

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Conned on jiji app

    Hao jiji na airtel number ni shida. Nilishawastukianga, basi tu. Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    *aziniye*
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace Kizzo Gunz

    Dah na kweli... hebu punguzen jmn. Nataka kuamini hakua mtu wa hivyo bali mstaarabu katika nafasi yake. Wote hatulingani jmn. Tumuache apumzike mahali pema peponi na sie tuendelee kuomba kifo chema hasa wale ambao bado tuposafarini... RIP KIZZO
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Hahahaaaa
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

    [emoji23] [emoji28]
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

    [emoji23] [emoji28]
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

    Tendo lipo kwa wote.. mara nyingi ndoa hufarakana kwa sababu tendo linaoneka ni kwa mume tu. Jmn wake pia game wanapenda na kuhitaji. Huondoa upweke na hurudisha hata hiyo heshima kwa mume. Inawaweka wawekaribu hence heshima mapenzi mpenzi heshimu
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

    Usalama upo kwenye heshima tu... utampenda umuheshimuye na kumuheshimu umpendaye.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

    Ingawa sio wote na sio kwa kutetea ila hili ni kweli kwa wenye rangi zote mzungu mwafrika muhindi halfcast etc
  10. B

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Naunga mkono hasa point ya kwanza. Kwa mtajo wako wa akili hamna atakae kufilisi wala kukuibia. Utachimba kima chako mwenyewe ideas na nini vha kufanya mpama hesabu isimame. Nitarudi
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuumbuka kwenye simu baada ya kuongea na mtu nakusahau kukata simu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria na kuolewa ili aweze kuendelea kuishi mjini

    Hii ni reflection ya miaka hiyo. Hivi leo na hali ilivyokua ngumu jmn kunatakayepona? "If the shoes fits,...." If not keep stepping people
  13. B

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Matatizo ya utu(Personality disorders)

    Nimependa huu uzi. Nahamu kusoma zaidi
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Wema na Zari huwa wanapenda au ni Malaya tu?

    Ni aibu jamani.. haijalishi kupima nani zaidi ya mwingine. Ni aibu
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Wema na Zari huwa wanapenda au ni Malaya tu?

    Mhhmm... ndio hapo sasa maana kwa u- role model huu watoto wetu na vijana sijui watakua wanajifunza lipi la maana.
Back
Top Bottom