Embu nenda kasome kwanza factors (vigezo ) vinavyo tumiwa na hao You tube kuiweka video iliyopotiwa kuwa trending no 1. Halafu baada ya hapo njoo utoe lecture tena.
Kama unaelewa vizuri neno Trending huwezi shangaa kwa nini zuchu ni trending no.1 yaani mpaka kamshusha Boss wake anayefahamika duniani nzima.
Kwanzaa trending video YouTube huwa zinakuwa updated kila baada ya dakika 15 ampapo kila baada ya huu muda utakuta kuna video imepanda nafasi imemantain...
Wakulungwa inakuwaje?
Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
Nasikia baada ya DIVA kwenda wasafi anayefuata ni wewe, unaenda kuanzisha kipindi kipyaaa cha kuchambua wasanii kutoka Congo ambao Diamond huwa anawashirikisha pale anapotaka kutoabolingo
VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE.
Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu naye kafuata ubunifu kama huo wa KINGKIBA wakuachia audio, dance akiwa na madancer wake ampapo baadae...
Wamekusikia akija mwenye visheni yake kutoka Dubai watamueleza wale ambao hawamuogopi japo nasikia wengi wao wanamuogopa hawawezi kumwambia chochote kinachohusu ukweli wa chama chao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.