Recent content by boroyangll

  1. boroyangll

    Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Duh ni shida,ili janga tumuachie mungu,tuongeze maombi kwa Allah Sent using Jamii Forums mobile app
  2. boroyangll

    Nataka kuacha kazi niwe mjasiriamali, naombeni ushauri

    Usimtishe,anatakiwa apate Elimu ya ujasiliamali,sio kama anaacha ila anabadilisha aina ya kazi,alikuwa anasimamiwa akiachacha atakuwa anajisimamia,anachotakiwa nikuwa na nidhamu ya shughuli zake.
  3. boroyangll

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Watanzania tufike maala tuulizane tuna Raisi mwenye thamani ya kujibishana na Mange kweli,shem on it.
  4. boroyangll

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
  5. boroyangll

    TARIME: Diwani wa CCM kata ya Susuni auawa kikatili

    Ni habari iliyochacha ya mwaka 2011 hii
  6. boroyangll

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Mimi nilikuwa mfanyakazi wa sekta binafsi,waliniajili nikiwa kitua A baadae wakaniamishia kituo B,kwa sasa wameniachisha kazi kwa madai gharama za uendeshaji kuwa kubwa,wakati ananiachisha ameshindwa kuniludisha kituo A ambacho aliniajili,nimeludi kwa gharama zangu baada ya kusubili kwa mwezi...
  7. boroyangll

    Mbeya: Mbunge Joseph Mbilinyi na Msonga waachiwa kwa dhamana, wamejidhamini wenyewe

    Zimekwisha tolewa kupitia elimu bila malipo,tukisema elimu bule tunakosea.
  8. boroyangll

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Naomba kanuni ya ukokotoaji wa uhamisho na staiki zake
  9. boroyangll

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Mkuu nimelipata somo apo juu,naomba kujua staiki za mtu anapoamishwa anapaswa kulipwa nini na nini na kanuni ya ukokotoaji wake,asante
  10. boroyangll

    Rais Magufuli amemtuma Mwanasheria Mkuu kufuatilia Bombadier Canada

    Hapa wanataka kutengeneza cv kuwa kaenda kafanikisha kuludi nazo kumbe yule mkuu aliyeenda wiki mbili zilizopita kesha piga goti,mkuu siku si nyingi,kiki iyo inatengenezwa
  11. boroyangll

    Spika tusaidie kujua CCM ilifanya vikao lini kumfukuza Nyalandu

    Ubwege nazi,wameumia sana,kwa barua hii wameshindwa kujua ata wadanganyeje,poleni wa Lumumba mnaiba mbuzi wenzenu ............
  12. boroyangll

    ACT Wazalendo wawasilisha Mahakamani kesi ya kupinga uteuzi wa Katibu wa Bunge uliokiuka Katiba na sheria za nchi

    Nyumbu awatoisha nchi hii,Pengo anawakilisha watu gani katika hii nchi,kati ya watanzania wapatao millioni hamsini,je akitokea Shehe mkuu wa Tz nae akasema lake katiba ni kipaumbele kwa waTz itakuwaje,uyu atawakilisha wachochezi,viongozi wa dini wana mapungufu kama binadamu wengine,ndio awa...
  13. boroyangll

    Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

    Ipo salama kabisa,watakuwa wa Lumumba hao
  14. boroyangll

    Ndugai: Lissu hawezi kutibiwa kwa michango, ana stahiki zake kama mbunge

    Umenena sana,nafsi zao zinaumia sana kwa walichofanya,dhamira inawasuta.
Back
Top Bottom