Recent content by Boro_yank

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa Kupata Kipato na blogs

    Kama zip mkuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuombe hii albadir iliyosomwa kwa ajili ya Lissu isiwe kama ' TEGO' la ubenani!

    Itaenda kama tego tu kuwa mpole uone
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa member wa mzumbe university(main campass) nijuzeni haya

    Nimemaliza hapo juzi tu. Ndugu kama haupo serious kusoma usiende. Tena nimesoma mambo hayo ya ICT, tuliofika mwishoni wachache tumeanza wengi babaaaa pale ni jeshini sio mchezo. Usijaribu kuingia na videsa UE umesepaaaaa kama unajiona haupo fit kaka nenda CBE hapo utakula maisha. Pale mzumbe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sorry ni Airtel Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ndo faida yangu ulitaka ufanyiwe bure tu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Thanx Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Habari. Bando zetu ni, Tsh700= 10GB, Siku 3 (USIKU TU) Tsh1,100= 2GB, dk 110, SMS, Siku 3 Tsh 1,600= 1GB, dk 150, SMS, Wiki 1 Tsh6,500= 4GB, dk 500, SMS, Mwezi 1 Namba ya System zetu ni 0788315655 jina Edwin kiwale Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Habari za muda wadau, nataka kufanya kilimo cha papai mwenye ushauri juu ya soko lake na taratibu za kulima papai msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni mahali gani Dar pa kufungua zahanati ?

    0714919200 au 0788315655 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni mahali gani Dar pa kufungua zahanati ?

    Nicheki pm nikuelekeze nina nyumba ilikuwa hospital kabisa napangisha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada Space ya Local Disc (C) inapungua kila wakati kutoka 98GB sasa 3.5GB

    Kuna njia za kustopisha inawezekana umefanya auto backup hivyo Os inajibackup kila muda. Unatumia OS gan? Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

    Acha ushamba wewe Kama hauli kwenye ma cafteria huwezi kuona. Mchele upo mwingi Sana. Morogoro hapa chuoni umezagaa Sasa hivi wanafunzi wanakula chips tu. Vibanda vya vyakula wanamix na was kawaida. Usibishe kitu usichokijua wewe sema hujakutana nao Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Bajaj inahitajika TVS

    Bajaj inahitajika TV's iliyokatika Hali nzuri yenye vibali vyote ni pm
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bajaj inahitajika TVS

    Wakuu natafuta Bajaj TVS iliyokatika Hali nzuri kwa anayeuza kwa Bei pouwa ani pm
Back
Top Bottom