Recent content by bornsave

  1. bornsave

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    ccm nchi imewashinda,, mnakotupeleka cko. damu inalia ipo cku kila lililofichwa litawekwa wazi, inauma sana jama, Polen majeruhi. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMENI
  2. bornsave

    NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    elimu imeshikiliwa na mwanasiasa,, yanayotokea ndio haya
  3. bornsave

    Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    Elimu ya Tanzania RIP.
  4. bornsave

    F math Eti Ninaweza kwenda combinations za biashara

    ECA utapata kwa jinsi mwaka wenu ulivyo ondoa hofu:llama:
  5. bornsave

    Huyu mwanafunzi nimeshindwa kumwelewa

    huyo mwanafunzi anampenda Mungu. na anaonesha ana imani kubwa kwa Mungu wake..naja kumpa big up:llama:
  6. bornsave

    Ajira mpya za ualimu na siasa za mawaziri wetu wa elimu

    hii ndo bongo mjomba, siasa mpaka kwenye vyoo vya kulipia.:target:
  7. bornsave

    Chakula Cha Valentine. Enjoy Lovers Club

    tamu mpaka kisogoni.:target:
  8. bornsave

    Siasa imeingia Ajira mpya za walimu 2013 kwa Waziri kudanganya umma.

    hili ndo tatizo la kuleta siasa kwenye elimu. jamani siasa na elimu kama mapenzi na shule..wanasiasa mtuachie elimu yetu mtawaua watu kwa pressure.:target:
  9. bornsave

    hii ni kweli

    hapa cjapaelewa wacha nipite speed 360 shaaaa:target:
  10. bornsave

    Zaidi ya walimu 300 wa Chuo Kikuu Kishiriki cha elimu Mwenge hawajapangiwa vituo vya kazi

    poleni xana ndugu zetu, hata udom watu kibao hatujapangiwa. na aieleweki ni vigezo gani wamechukua. jamani kama unaelewa hebu mtusaidie wenzenu maisha yanazid kuwa magumu.:target:
  11. bornsave

    MoEVT:Subsistance allowance za walimu wapya kujengea nyumba za walimu.

    Utaratibu mbovu,,au ndio maana post zimechelewa walikuwa wanatafuta jinsi ya kutudanganya,,hatudanganyiki tunataka pesa zetu majengo wajenge kwa pesa zao.hii nchi wamezidi sasa.:target:
  12. bornsave

    Waalimu wapya na maisha ya kijijini

    yote ni maisha mjomba,,mjini tuwaachie walio struggle na cc tukatengeneze bush mbona kutoka kupo.:target:
  13. bornsave

    Ajira mpya za waalimu 2013

    hapo kitaeleweka tu.
  14. bornsave

    shule hii usiikubali ajira mpya

    lazima ikajulikane huko kijijini.
  15. bornsave

    Post za walimu zatangazwa.

    hakika imekuwa,,tunaomba majina sasa
Back
Top Bottom