Recent content by bornjr9424

  1. bornjr9424

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Kuna kipindi hii ndoto ya kupigwa risasi inajirudiaga japo huwa sifi cjui tafsiri yake nn
  2. bornjr9424

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Daah hiyo code ya #3 bora umenifumbua maana kuna kipindi per week niliota x2 na baadae tsunami ikanipitia[emoji3]
  3. bornjr9424

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    Kuna dogo kamaliza form four mwaka jana na amepata 4 ya 26 na ana C tatu sema hizo C tatu kombi haijabalance na anataka kujua kozi gani anayoweza akasoma kuanzia certificate na Diploma
  4. bornjr9424

    JamiiForums Tanzania Uanzilishi wa shule

    Nahitaji kujua A, B, C, D za kufuata ili kuanzisha shule ya awali ya watoto.
  5. bornjr9424

    JamiiForums Tanzania Why Azam FC hawatumii Chamanzi Complex kwa mechi za Simba na Yanga

    Toka msimu uliyopita board ya ligi iliidhinisha mechi zote za nyumbani za Azam FC zinachezwa kwenye uwanja wao unless Azam wenyewe watake kucheza nje ya uwanja wao na ndio maana mechi zao za nyumbani za Simba na Yanga wamechezea kwenye uwanja wao.
  6. bornjr9424

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Vacancy: Intern (4)

    na cover letter ya intern eti una mention post?
  7. bornjr9424

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Vacancy: Intern (4)

    kama utapita kwenye first selection nahisi ndipo itakapohitajika hiyo ID ya jf ukiwa nao kwenye proceeding interviews.
Back
Top Bottom