bornjr9424
Member
- Sep 29, 2017
- 7
- 0
Kuna dogo kamaliza form four mwaka jana na amepata 4 ya 26 na ana C tatu sema hizo C tatu kombi haijabalance na anataka kujua kozi gani anayoweza akasoma kuanzia certificate na Diploma
Dogo au wewe!!!Kuna dogo kamaliza form four mwaka jana na amepata 4 ya 26 na ana C tatu sema hizo C tatu kombi haijabalance na anataka kujua kozi gani anayoweza akasoma kuanzia certificate na Diploma