Kuna jambo linanisumbua kichwa siku nyingi naomba niwashirikishe wadau wenzangu.. Mchakato wa Ajira za Utumishi kwa hivi karibuni umerahisishwa upande wa Written interviews kwa maana ya Kwamba wasailiwa hawana ulazima wa kusafiri kwenda Dar es Salaam kufanya mtihani wa mchujo, badala yake...
pole sana, naona watoto wa elfu mbili wameanza kuingia kwenye ndoa sasa, wanaumiza sana vichwa. Jitahidi usimshirikishe sana kwenye bajeti zako na asijue kipato chako. jifanye hauna pesa kabisa
baada ya kujaza taarifa zako zote fungua sehemu ya Search Jobs, ukiexpand kwenye post uliyoomba utaona sehemu ya ku_attach certificates, CV na Cover Letter na hatimaye kutuma maombi
Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja.
Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.