Dah! hii shida sasa, kwani lazima wote tuwe wabunge jamani, ah! we Seleman Msindi jipime bwana baki na Usanii katika Tasnia ya Mziki ndiko unakotosha.......suala la ubunge/ udiwani sikushauri whether ungekuwa CCM, CHADEMA AU ACT hapana.:embarrassed1::shocked::tinfoil3:
Hafai jamani ila kama tukikosa mwenye sifa za kutuongoza basi hatuna jinsi, mungu atuongoze atuvushe katika kipindi hiki kigumu na cha mpito tusije fanya kosa tukachagua mtu asiye sahihi. ni hayo
:frown::frown::frown::frown::frown::frown::frown::frown::frown:
Yawezekana haya ya kuwapangia waandishi wa habari nini waandike, yapo katika katiba pendekezwa.............ila Nape Dah....!!!! tatizo upeooooooooooooo tumsamehe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.