Ni kweli it is totally mistake lkn kuomba kuona hiyo video sidhani kama ni kosa kwa mfano wengine wapo mbali uwezo wa kuona Tv ni shida thats why ila sehemu tulipoweka number that is mistake
Russian President Vladimir Putin on Tuesday accused the United States of wanting to subdue Moscow but warned Washington it would never succeed.
"They (United States) do not want to humiliate us, they want to subdue us, solve their problems at our expense," Putin told a meeting with a core...
MOSCOW (Reuters) - Russian President Vladimir Putin on Tuesday accused the United States of wanting to subdue Moscow but warned Washington it would never succeed.
"They (United States) do not want to humiliate us, they want to subdue us, solve their problems at our expense," Putin told a...
Kaka mm naomba nikupe ushauri kuhusu ml 60 kuwa unaweza kujenga bonge la jumba hiyo siyo kweli ila unaweza kujenga nyumba standard ya maisha ya kawaida mm ni mkandarasi na nina uzoefu wa kutosha kwa nyumba ya kawaida at least inatakiwa isipungue square meters 180 na hii imazingatia zaidi nature...
Kwa alieuliza kama wanatibu na magonjwa mengine unaweza kusoma hapo juu kiufupi wanadili na kila kitu kwenye maisha moja ya vitu ambavyo hupelekea sisi wengi wetu kufanya makosa ni kukosa information na nia hii topic ni moja tu ni kujaribu kuwapa watu information at least wapi penye unafuu ni...
SOCIATEDCORPORATE INFORMATION
In 2001, Dr. Devi Shetty Chairman - Narayana Health stepped in to make a difference to the Indian healthcare and he put into place a dream hospital project called Narayana Hrudayalaya that started modestly with 225 beds in Bangalore and went on to become a...
Ni sawa lkn hata kwa wale wachache wenye matatizo kama ya moyo ni vema wakija wapata sehemu sahihi thats why kuweka hii topic just umekuja mbali kote huku halafu unaishia kupoteza muda ni hasara mara mbili
Na uzuri wa hawa jamaa hapa wana INTERNATIONAL DIVISION ambayo ni special kwa foreigner tu kwa kweli to be honest Nilienda Mumbai kuna hospital na MYSORE ila ni tofauti sana na hawa so ni muhimu kujipanga kabla ya safari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.