tatizo sio ubaguz ila uislam ni haki na hua wanajielewa napia hua hawamuangalii mtu usoni kutokana na umaarufu wake ama vipi, kama wagalatia walipomfungisha ndoa Joti akiwa na "kiduku" kichwani na kushindwa hata kumkemea
hivi kwani ni lazima mtua kuleta uzi humu ndani, kama huna cha kuandika si ukae kimya usome vya wenzio kuliko kuandika pumba kama upo usingizini, sasa ndio umeandika nini!!!
kumbe siku zote hizo tulikua tunambembeleza mwizi akubali kurudisha japo kiduchu cha alichotuibia, mimi nikajua tupo kwenye kumuwajibisha na kumlazimisha kulipa kumbe ni vice versa, dah bado tuna mlima wa kupanda watanzania!!
nakumbuka nilikua form one tulikua break time ya saa nne tunarudi darasani mwalimu anatupa hizo taarifa bas duh kama tulinyeshewa na mvua jinsi ya masikitiko tuliyokua nayo utafikiri tumefiwa na baba zetu wa kutuzaa, hahaha kweli ujinga mzigo
Mimi nadhani angekua muoga asingefanya kabisa huo mkutano, ila alichokifanya kinaonyesha ni jinsi gani anaupeo wa kuona mbali na kusoma alama za nyakati na anajua jinsi ya kupambana
mtoa uzi umekurupuka sioni cha maana ulichoandika hapa, ulitakiwa uje na hoja zilizoshiba ili kuonesha kua Tanga haikustahiki kuoewa jiji lakini kwa hoja za bodaboda kusubiri taa za barabarani na vijumba vya udongo mjini hazina mashiko mana hadi leo kariakoo zipo nyumba za udongo tena si moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.