Recent content by BOOM1

  1. B

    Ushauri kwa mwanaume wa miaka 35

    Jipende mwenyewe,Penda wengine, maisha ni mafupi sana hapa Duniani.
  2. B

    Jambo gani linakufanya uamini uwepo wa Mwenyezi Mungu?

    Yupo aisee,Mimi huwa naomba kwa jina lake na mambo yanakuwa.
  3. B

    Saa chache kabla mtu hajafa

    Jambo la msingi kwa muono wangu jaribu kuishi kwa Upendo na kula bata na familiya yako yaani Mke,Mme, watoto na watu wenye uhitaji wa kweli,au kama wewe siyo muumini wa ndoa jipende mwenyewe napendelea kusaidia watu wenye uhitaji wa kweli ..hii itakuwa kumbukumbu bora zaidi katika maisha yako...
  4. B

    Mara yangu ya kwanza kukutana na malaika(1987)

    Haya mambo ni halisia kabisa. Kwa mara ya kwanza Mwaka 2012 nikiwa chuo mwaka wa pili tulikuwa na huduma ya kuhubiri Mangaka Mtwara nikiwa katika hali ya utulivu mkubwa,nimejawa hali ya upendo kwa watu wote yaani niliomba msamaha wa kweli kwa watu wote nilio wakosea pia nikawasamehe watu...
  5. B

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Umenikumbusha mwaka 2009 nikiwa nasoma form six shule moja wilayani Njombe miaka hiyo. Ilikuwa usiku wa saa nne na dk kadhaa.Mimi na kijana mwenzangu tukiwa maeneo ya shule, tulikutana na bibi wawili wazee sana baada ya kutuona walicheke kicheko kirefu na baada ya sekunde kadhaa wakapotea...
  6. B

    Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    kwa kwakweli
  7. B

    Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    Umejitahidi.
Back
Top Bottom