Recent content by book

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini benki ya NBC hufunga akaunti za wateja bila taarifa?

    NBC wamekua wababaishaji sana,hata Mimi nimefungiwa acc yangu wakati nimesha update .Nimesafiri nasubiri nirudi nikaifunge niwahame.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    warioba
  3. B

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    warioba
  4. B

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba=A
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa kudai mahakama ya kadhi Tanzania

    Athari zipo tena nyingi sana kwani dini moja tu ndiyo sheria zake zitatambuliwa kikatiba wakati dini/imani zipo nyingi na wanasheria zao na wanahukumiana bila kuihusisha serikali.Kwa nini mnataka msaada wa serikali (katiba) kuhukumiana!? kuna nini!?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: CCM Inaweza Kutoa Mtu Anayeweza Kumzidi Kikwete?

    yupo muheshimiwa magufuli anafaa sana ila hata ccm wenyewe hawamtaki na wanamuogopa .
  7. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina 403 ya Vinara wa Madawa ya kulevya sasa hadharani

    Du karibu 98% ni waislamu hapa inakuwaje? imetokea tu au kuna undani wake!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kakobe Askofu Mkuu wa kudumu FGBF

    pole sana,kama jambo hulijui ni vizuri ukakaa kimya,kuropoka namna hii unajichumia laana ya bure.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mbinga awachana Viongozi Waandamizi Jukwaani

    Baadhi ya makamanda wamegundua dili ,wanachukua mshiko wa mafisadi anajitangaza kuhamia ccm Kisha wanahamisha makazi yao na kuvua gamba na kuvaa gwanda kimya kimya.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

    wageni rasmi wenyewe wasanii
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wakati baba yake akitangaza kuingia msituni mtoto wa Komba ajiunga na CHADEMA

    kitaeleweka tu 2015 si kila mccm anafurahia yanayotendeka ccm.Kura ya Siri ndiyo mpango mzima.Ndiyo maana bunge la katiba haitaki wanajua wataumbuka.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mch. Kakobe hajawahi kushinda akiwa pekee yake au na kundi lolote

    katika viongozi wa dini wanaoishi kile wanacho KIAMINI na kukihubiri ni askofu Kakobe.Kama yeye ufisadi anauita ifisadi bila kupepesa macho kama biblia inavyotaka unafikiri atapendwa na sisiem!? BIG UP KAKOBE
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mlipuko watokea Darajani Zanzibar. Mmoja auawa

    Hapa serikali 2 au 3 zimeingiaje mkuu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kuanzisha mchakato wa mgombea binafsi, ni baada ya Mtikila kushida kesi

    Na bado watachanganyikiwa zaidi
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini sadaka la makanisa ya kiroho hazitangazwi kwa waamini wao?

    makanisa ya kiroho, ni ya kiroho na mambo yake ni ya kiroho ukiwa mwilini huta elewa.
Back
Top Bottom