Recent content by Bonyobonyo

  1. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema Mimi ni bonyo bonyo

    Hayo ndo mapokez mkuu
  2. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Mkuu Mwanangu anasumbuliwa sana na gesi tumboni pia kwikwi sana
  3. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema Mimi ni bonyo bonyo

    Namshukuru mungu kwa kuniweka hai hata sasa kwa magumu niliyopitia ikiwa mara ya mwisho niliwaaga kwenda jkt nasikitika sana haikuwa kama nilivotarajia
  4. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu JKT reserve

    Nyanda za juu kusini
  5. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu JKT reserve

    Reserve wetu diploma waliend wote na nafac zkabk na hakukuwa na unfit tshajaza fomu tnavt mda wa kwend kuripot vikocn 2 sas
  6. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Njia ya kufika kambini makutopora

    Naripot kujitolea mkuu
  7. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Njia ya kufika kambini makutopora

    Shukrani mkuu
  8. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Njia ya kufika kambini makutopora

    Naweza kupanda basi za arusha zikanifikisha kambini mkuu au njia nzuri ni kupnda gari za iringa dodoma
  9. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Njia ya kufika kambini makutopora

    Shukrani Sana mkuu
  10. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Njia ya kufika kambini makutopora

    Wakuu, Heshma yenu Nahtaji kufika kambini makutopora dodoma kutokea iringa kwa anaejua njia ya kufika naomba kujuzwa natanguliza shukrani
  11. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri anataka kusoma geologist

    ana c ya chemia fom four mkuu but physics ana f na maths ana c
  12. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri anataka kusoma geologist

    ufafanuzi murua kabisa usio na swali thnks mkuu
  13. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri anataka kusoma geologist

    ushauri mkuu ujuaji wa kuchanganua maana hapo haumsaidii huyu jamaa
  14. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri anataka kusoma geologist

    ushauri mkuu achn na kukosoa
  15. Bonyobonyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri anataka kusoma geologist

    wakuu, wasalaam, nina rafik yangu mmoja anatarajia kuingia chuo panapo majaaliwa. wazo lake ni kusomea geology na combination anayosom ni egm .hataki banking wal uhasibu je ,inweza kumtoa hii geology? vip upatikaji wa ajira au ni coz gani mnashauri asome kulingana na mchepuo wake karibuni...
Back
Top Bottom