Bonyobonyo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 226
- 235
- Thread starter
- #21
Kwa upande wa geology, tatizo ni hiyo combination. Utaalamu wa madini unahitaji ufahamu wa chemistry, physics na mathematics. Geography ni muhimu lakini hata ile ya kiwango cha form four inatosha.
ana c ya chemia fom four mkuu but physics ana f na maths ana c