Recent content by bontana

  1. bontana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Hiyo ndo maana halisi ya mwanamke……saiv yupo kituoni ndo akili ukute imemkaa sawa. Ushauri tu : ukiona mapenzi yamepungua usiforce angalia plan B tu siku hizi mahisiano yanaendana na uchumi huenda alichokitka kwako hakuna tena na wala dalili ya kuja hakuna
  2. bontana

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni tofauti na waalimu wa secondary?

    Sijaona ukweli mpaka Sasa......ulizeni walimu watawaambia ukweli! Siku hizi mwl wa degree science anavuta 805000 hapo bila makato na ndo kaanza kazi ila wa art anavuta 700k na ushee hukoo .....so msiwadis kama hamjui ukweli.......
  3. bontana

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo KILIMANJARO HAI nije morogoro mjini, bagamoyo au chalinze.Masomo Phy na chem
  4. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Nashukuru kk ngoja nije inbox nipate machache
  5. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Asante mkuu
  6. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Asante sana Kwa maarifa haya mkuu......wazo jipya kwangu hili pia
  7. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Ok kipato changu ni 500k Kwa mwezi mkuu
  8. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Asante mkuu
  9. bontana

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo KILIMANJARO HAI nije morogoro mjini, bagamoyo au chalinze. Idara secondary Phy na Chem
  10. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    M5 mpk 6 ndo bajeti yangu kk
  11. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Asante sana mkuu Kwa ushauri
  12. bontana

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ununuaji gari ya kuanzia maisha

    Habari wana Jf? Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha. Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo itaendana na kipato changu na jinsi nitakavyoweza kuitunza pia. Wazo langu ni kununua used kwanza...
  13. bontana

    JamiiForums Tanzania Nafuta Mke wa kuishi nae

  14. bontana

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    ?
  15. bontana

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Ukimpata tupe mrejesho
Back
Top Bottom