Recent content by BONTABOY

  1. B

    Video : Tukisheherekea Maulid hapa Morocco

    kama nao wangeheshimu na kuacha kufatilia kitabu kitakatifu Bibilia hivi nani ambao kucha wanakaa kukosoa kitabu cha wengine mjitafakari hapo
  2. B

    Godoro safi la kulalia

    Godoro lolote ni zuri ila kwa kudumu unachotakiwa ni kujua uzito wako na lenyewe liwe na density gani hilo ndio la msingi hata hao Tanform kuna yenye density ndogo yanabonyea katikati cha muhimu uzito bro.
  3. B

    Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

    mimi nikuambie tuu humu jf kuna madereva kibao na wana uzi wao pia kama uelewi na ni watu wenye uwezo sana kibamba yote maili moja kwa matias na vitongoji vingi vya mkoa wa pwani nyumba unazoziona ni za Drivers na wako vizuri wewe ukasome.
  4. B

    Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

    wewe ndio huwajui sisi miaka yote tunafanya nao kazi usisikie story za kijiweni
  5. B

    Hivi madereva wa malori mna shida gani? Mbona hamridhiki na wake zenu na wanawake mnaowanunua huko barabarani?

    wewe huna uzoefu na haya kwa hakika hao wadada ni hatari na madereva kwa kweli wapewe maua yao ungalijua jinsi hawa wanayoyafanya usingeandika huu ujinga kabisa tafuta upate ukweli hao noi hatari na kuna majambazi kabisa hao wadada na njia zotye sasa wapo kwa kazi hizo jiulize kama ni msafiri wa...
  6. B

    PSSSF: Kwa TEHAMA yetu ofisi zetu nchini pote zinaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu

    hii si kweli nilifatilia kujua statement tuu ilinichukua karibu mwezi plus kupata hili na hii ilikuja wakati wa kuunganisha mifuko ndio ikabidi nifate kujua statement.
  7. B

    GE2025 Kinje achukua fomu kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

    uko sahihi huyo ndio kinje macho indicators
  8. B

    Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    wajinga wengi ndivyo walivyo inakusaidia nini kama unaona kwako siyo kitu achana nayo waache wanaoamini nyege za kuitafuta biblia zinatoka wapi mbona hatuangaiki na mavitabu yenu acheni ujinga fata linalokuhusu ukristo ulikuwepo kabla na utaendelea kuwepo milele yote na biblia ni kitabu cha...
  9. B

    Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    kuwa na akili japo kidogo umeshambiwa muislam wa kwanza alikuwa ni Bi nani sijui mke wa Mtume na ni baada ya mtume kupewa maagizo sasa mambo ya Adam na Hawa yanakujaje msilazimishe kujulikana mtume ndio wa mwisho sasa hapo kuna akili gani tena wewe ni juha usiye jua ukweli pole sana na sisi...
  10. B

    Sijawahi kuona Jiji la hovyo kama Arusha

    utakuta anayeandika haya ni mhaya na kwao ni kinyaa huwezi kulinganisha na muonekano wao Arusha ni jiji la pili kwa majengo marefu Tanzania au ujui tafuta data bro usiongee bila ya data
  11. B

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    nimepata huduma tayari asante
  12. B

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    asante sana kwa good respond jana mafundi wamefika na nimepata ujumbe asante sana sasa niko live asante sana Tanesco kwa huduma bora
  13. B

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Habari naomba kujua ukishalipia huduma ya kuunganishiwa umeme inachukua muda gani mpaka kupata huduma nauliza kwa sababu mimi nimelipia huduma tarehe 2.05.2025 baada ya kutumiwa gharama lakini mpaka sasa ni tarehe 21.05.2025 bado sijapata huduma naomba maelezo nijue nisuburi kwa muda gani.
  14. B

    Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

    huyu siyo msukuma ila ana jina la maganga lakini ni watu wa babati mali ni za dada ambaye ni kiongozi hiyo ni kampuni ya speed way yeye ni msimamizi wa mali za dada anamatukio mabaya hata Tanga aliwahi kutishia watu na bastola sasa imekula kwake
  15. B

    PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

    kwani si wamekataa sasa maswali ya nini hawataki basi ni haki yao na chama chao,nyinyi endeleeni
Back
Top Bottom