Recent content by bonnylove

  1. B

    King'amuzi cha continental

    Bora wewe unaweza kuona taarifa ya habari mimi nina mwezi sipati chochote ilianza vizuri ikawa inakata kata mara gii mpaka na leo na nilikuwa nimelipia ile miezi mitatu waliyo kuwa wanatangaza ya ofer one month.
  2. B

    Vigogo kumi na sita wa bandari wasimamishwa kazi

    bandarini ni kitu cha kawaida kukuta familia nzima kwa wale wenye ndugu mabosi.pili tunamuomba mwakyembe achunguze vyeti na uwezo wa kazi. ukiangalia uwezo wa hawa jamaa walio pelekana pale kiundugu unakuta uzorotaji ni mkubwa sana kwani hawa watoto wa wakubwa wakifanya makosa hawaulizwi kitu...
  3. B

    Vigogo kumi na sita wa bandari wasimamishwa kazi

    hawa mabosi wametulipisha vitambulisho kila kitambulisho cha wale wanaoingia bandarini kwa shughuli mbambali ni sh 12,000/= na vimetengenezwa vitambulisho si chini ya million kampuni zinazotengeneza ni hizo za mfukoni hela inayopatikana haikatwi kodi kwani kampuni zao hazijasajiliwa.piga milioni...
  4. B

    Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

    Tatizo hawa jamaa njaa wameibebea na mfuko wa nailoni kila mtu anaiona.
Back
Top Bottom