Recent content by bonleery

  1. B

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    jaman mwenye maelezo zaidi kuhusiana na mabwe secondary iliyopo rukwa,tafazar anijuze hapa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Njombe Secondary school " WanaNJOSS" Tujikumbushe haya.

    jamani naombeni namba ya simu ya uwongozi wa shule au mwalim yeyote wa mda wa shule,niweze kushilikian nao katika kumleta ndugu yangu kupiga kitabu hapo,,mchepuo wa PCM,,Natanguliza shukrani wakuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    asante sana mkuu
  4. B

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    mkuu naomba unisadie nambali ya sim ya wahusika wakuu wa njombe boyz,ili niweze fanya mikakati kwani nipo DSM, mkuwa nsaidie yani nipate kucontact nao mkubwa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule ya advance ya gharama nafuu

    nafasi zipo wangu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na second selection?

    wakuu mwenye uzoefu wa kufanya uwamisho wa shule namwitaji gharama ntatoa,,ni uamisho kutoka shule ya mabwe to kibaha au njombe high school,comb ni PCM,,,j
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na second selection?

    wakuu mwenje uzoefu wa kufanya uwamisho wa shule namwitaji gharama ntatoa,,ni uamisho kutoka shule ya mabwe to kibaha au njombe high school,comb ni PCM,,,
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule ya advance ya gharama nafuu

    jamani nahitaji mtu wa kunishugulikia uwamisho awe ni mzoefu nianze masomo shule tu zitakapofunguliwa combinataion PCM kutoka mabwe high school to kibaha au njombe secondary
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jaman kibaha high school ikoje?

    kaka vp nafasi naweza pata hapo,,nahitaji kusoma hapo mchepuo ni PCM
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jaman kibaha high school ikoje?

    nahitaji kufanya uwamisho kuja kibaha kwa mchepuo wa PCM,gpa ya 2.4
  11. B

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    dah pw mkuu nifanye njia gani naomba msaada wako mkuu
  12. B

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    naweza kufanya uwamisho kuja njombe kwani nimepangiwa bweru sec comb PCM in rukwa,shule iko mbali sana sa nahiji soma njombe na ndo nlivyokuw natarajia mkuu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    jamani wakuu naombeni msaada nlipo pangiwa ni mbali sana so nlikuwa nahitaji nfanye uwamisho na wamesema hawezekan kuomba uwamisho je nifanyaje?????
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    hey gyz mbona wanazngua
Back
Top Bottom