Recent content by Bonifacii

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nassari: Mikutano na maandamano makubwa kuanza September 1 Arumeru

    Polisi wa kulinda hamna ila wa kupiga wapo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa sana IKULU

    Ni hatari kuwa na uncharismatic leader
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makonda apiga marufuku maandamano Dar

    Kwani ccm walishinda dar?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Awamu mpya na siasa za kitapeli

    sasa suluhisho la jamvini litasaidia?kama masuluhisho ya wabunge ndo kwanza wanafukuzwa.Bandiko la humu haliwezwi sikilizwa na ccm
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete, Magufuli na mtu huyu wa tatu...

    mtu wa tatu na mission na vision ya ccm
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nyota yazidi Ng'aa: Naibu spika Dkt. Tulia Ackson apewa nishani na zawadi toka bunge la China

    Bunge haliwawajibishe wawindaji wa tembo na soko kubwa kwao na huyo mama anaizima hiyo mijdala,kichaa tu ndo asingempa nishani
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Rais kutukanwa!

    mitume wanatukanwa mbona haishangazi,huwezi jua sababu za ye kutumia neno hilo ndo maana ye hajakamatwa lile la vilaza
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania

    Inawezekana mikataba ipo msoga cc magogoni
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mkapa: Najuta

    Na sisi tubadili katiba,tukikosea tusishtakiwe kama wao ili tuje tujutie baadae
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

    Najua Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, @Kigwangwala na Tibaijuka ni member hapa JF, kwa nini hawawaambi wabunge wao wanaonekanaje na jamii au hata kuwaonyesha wanavyojadiliwa? Au na wao ndio walewale? Umesahau kuwa Nape kalipa uzito swali na kulijibu?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

    Huyu Nape hawezi hata kuwa prefect kwa nchi za wenzetu,mtu kupiga pushapu iwekwe kumbukumbu?Jamani ifike mahala ccm muwe na mtu wa editing ya maswali yenu.Ni aibu kwa taifa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkutano mkuu CCM tarehe 7.7.2016; Mangula kuwa katibu mkuu, Bulembo naibu katibu mkuu

    Vigezo wanavyo wengi,kutia akili mfukoni,kulopoka,la saba kumcontrol proffessor,hapo watachuana kibajaji,mfuasi wa diamond na yule alietoa kanusho kuhusiana na Gwajima
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli, huu ni wakati wa ku-act Udikteta wanaokusingizia. Anza na Jenerali Ulimwengu

    Huyu alishindikana na Mwalimu kabla TISS haijawa na undugulaization,tafuteni kwanza hela za mkutano mkuu,maana mmeanza kuisoma namba.CCM haina hela???duh
  14. B

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Viongozi wa CHADEMA ni kama Herode, naibu spika ni kama Yesu

    Mungu wangu,si bora waliotoka maana sioni kinachojadiliwa zaidi ya kujadili budget,naomba Kashilila alliite bunge la kujadili upinzani.Kwahoja hizi hata Lizaboni hawezi kuja na uzi wowote
  15. B

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wabunge wa CHADEMA wananituma niwasemee - Mbowe ni dikteta anawapelekesha

    Nitajie mambo kumi aliofanya huyu Mesiah wa lumumba?mikataba mibovu imeisha?pesa za escrow zimerudishwa,katiba mpya kaigusia?ukali wa maisha umeshuka?miradi hewa kagusia?wizara inayoongoza kwa majipu in ile iliyokuwa sijui yake sijui ya nani,nilidhani angeanzia huko panaoongoza kwa miradi hewa
Back
Top Bottom