Recent content by Boniface m

  1. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Walisema wata clean team Mwendazake ndio wanachokifanya kama vile wao wataishi milele sema ipo siku.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Ila wanaubaguzi hawa watu usiombe wewe wa bara ukafanya kazi zenji yani hatar ndugu yangu alihama usiku wa manane kakimbia kazi mwenyewe
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

    Ukitoka bara unaitwa mnyamwezi....
  4. B

    JamiiForums Tanzania Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

    Uwe unasikiliza hotuba vzuri,,, mke pia anaweza tuma message kwa niaba ya mume
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Prof Kabudi awa Waziri wa Mambo ya Nje, Mahiga apelekwa Katiba na Sheria

    Mi naona iko sawa tna huyo ni mzur zaid maana anajua sheria uncle amempenda ksa kupambana na weupe hao bila kuogopa na ni mtu mwaminifu thats all
  6. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee nimfanye nini kwa Ushetani anaomwazia Mtoto wa Kaka Yangu?

    Nenda kwenye maombi kanisa la eagt city center mbagala kwa pastor katunzi kituo stand ya shamb ikitokea mtoto anaanza kukataa masomo na kupenda ngono hilo zee linaweza kumvut kwa uchawi akamharibu nishashuhudia hili takecarr
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Nchi Nchi inakaa sawa kabisa na kunyooka.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Hivi ataongea nini.,mabadiliko ni ya kawaida ktk kazi wangap wamebadilishwa wako kmya tu tena bestfriend,shauri yako maneno mengi madhara mengi pia.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Hatua ndio hizo kazichukua ila pia nampa hongera professor wa sheria yuko vzur sana nategemea kwenye sheria hapo pamenyooka.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Ma makofi kidogo kwa mkuu wa kaya....mambo kibao ya michezo kakaa kimya lkn la private sector anashikilia bango acha aisome nanba.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aitwa Ustawi wa Jamii kuhojiwa

    Tatizo ni kwamba hata kama ni kweli walitakiwa waseme mapema lkn sasa kumuondoa bashite ni kama kuwapikia pilau wauza unga washangalie kwa hyo huyu yuko saana hata waandike hadi mwakani hatoki kamwe.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ofisi za uhamiaji punguzeni gharama za passport

    Fuatulia nchi nyingine utajua pasport ya tz ni bei nafuu kuliko nchi nyingi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Jifunzeni tofauti akina Tid walikiri na kukubali wakapata huruma ya kuwasaidia maana wamekiri na wametoa ushirikiana huyo jamaa kakataa ndio mana wakaenda hosptal so anakesi kasema uongo then anatumia.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Hazina kwa kazi nzuri

    Hiyo nimeipenda,hata mawaziri wakiwa si wakristo upo mfumo kristo,jaman jama.
Back
Top Bottom