Recent content by Boniface Evarist

 1. Boniface Evarist

  Msaada wakuu sijaziona siku zangu huu mwezi wa saba sasa

  Tafuta msaada wa kiroho au nenda hospitali
 2. Boniface Evarist

  Natafuta duka wanalouza vifaa vya stationery vya jumla

  Ubarikiwe sana ndugu yangu.
 3. Boniface Evarist

  Big Salute kwa Nabii TB Joshua Na nabii Josepht Mwingira, Kwa Kumchonga vema Magufuli

  Haukuwa mbali sana. Mchango wa Watumishi unasaidia kuiponya nchi.
 4. Boniface Evarist

  Halotel configuration

  NAME: HALOTEL APN: b_internet Hapo lazima uweke underscore yaani (_) na si dash ionekanyo hapo juu kwenye red. Inayotakiwa ni hii ya blue nimeweka hapo.
 5. Boniface Evarist

  CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

  Safi saaaaaana
 6. Boniface Evarist

  Hotuba ya Slaa imepunguza kura zipi kati ya hizi kwa Lowassa?

  Rais ajaye ni Lowassa. Slaa Ongeza na mengine mengine ila elewa rais ni Lowassa.
 7. Boniface Evarist

  Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

  Ni uwanja wa Majimaji Songea. Ninaishi Songea nina uhakika na hili.
 8. Boniface Evarist

  Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

  Lizaboni ipo siku utaugua... wapo watu watakuja sema haya kwako wewe. Lazima uvune upandacho.
 9. Boniface Evarist

  ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

  Mungu hana upendeleo. Makongoro ulichopanda utavuna. Ipo siku Mungu atamuinua mtu wa kukufanya ufanyiwe ulichofanya. Hili litatokea hakika.
 10. Boniface Evarist

  Nataka kubadili dini naogopa wazazi wangu

  Unataka umkane Yesu kisa wanadamu? Subiri aje akukane mbele za Mungu!
 11. Boniface Evarist

  Kwa waliofungishwa ndoa za shida na raha Kanisani, Mnatakiwa kurudia upya

  Toa elimu acha kutoa namba bila elimu. Watu wakielewa ulichofundisha watakutafuta hata kwa PM. Sasa kuweka namba hapa ni kama tangazo na si huduma ya kiroho.
 12. Boniface Evarist

  Kwa waliofungishwa ndoa za shida na raha Kanisani, Mnatakiwa kurudia upya

  Ni kweli yuko sahihi lakini anapotoa namba za simu badala ya ushauri kwa jamii napata mashaka naye! Hoja yake ni too spiritual. .. ila simu hizo kuna mchezo mchafu.
 13. Boniface Evarist

  Kurudisha data ulizo format kwenye hard disk

  fihavango lazima email si tupe elimu?
 14. Boniface Evarist

  Nimetumiwa Faida Na Vodacom M-Pesa

  Hata mimi nilitumiwa juzi.
 15. Boniface Evarist

  Natafuta Mtoto wa Hiari

  Utashuhudia makubwa yasiyo andikika.
Top