Recent content by Bongorick

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuishi Duniani hakuhitaji Akili (Siri iliyojificha)

    Kweli, uliza walio na mafanikio duniani, hawajatumia saaana akili zao. Ni majaaliwa tu ya Mola.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Korosho: Serikali inunue Korosho yote ya Wakulima kwa bei ya mwaka jana 2017

    Wanaogopa ya Azori Ngwanda.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

    Mumu hakuna majemedari, waliopo wote ni majambazi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

    Wamrudishie mali zake.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maua Sama atachanganyikiwa sana kwa jambo hili

    Hivi humu jamvini na wachawi wapo? Uchawi wako ushindwe na ulegee.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

    Umetumia kigezo gani kusema" tulio wengi?". Labda wewe na betri zako za tiger zilizoanza kuvuja.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    Si msikani, au unatokea chato nini? Unaitwa "usukani" Wewe endelea kumfagilia huyo muuaji/ mtekaji.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kichaa mmoja, anaweweseka sana juu ya Zitto, kamtungia uongo, umebuma, Zitto tuko nae hapa Dodoma

    You like Yohana Alcohol Ma-lock or the big ass one Bashite. You are so shithole one.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kutekwa na kuachiliwa kwa Mo ni baraka kwa Serikali ya Magufuli

    We unajitoa akili kwa makusudi au umepewa buku 7?uaisafisha serikali kwa lipi? Mtu ametekwa alfajiri hao unao watetea wanasema walikuwa na kikao na madereva wa mwendo kasi, wanatuletea coloured picture za cctv, wanamwachia karibu na ikulu, sehemu iliyo na ulinzi wa kufa mtu, wanatoweka nakuacha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanaodhani familia ya Dewji ni rafiki wa Watanzania fikirieni tena

    Na serikali yako je? Inatangaza imeajiri watu 3,000 afya ila 90% ni attendants. Inasema imeajiri waalimu 4000. Wengi wao ni washule za msingi na za awali. Usanii mtupu. Afadhali ajira za Mo kuliko serikalini, wanaajiri zaidi cheep labour ili waonekane wameajiri.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amtaka Mo Dewji kuwa jasiri na kusema ukweli juu ya kilichomtokea

    Microchip imewaumbua, wamebaki kutafakari nini itakua hatma ya sakata hili. Mmelikoroga,lazima mlinywe.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amtaka Mo Dewji kuwa jasiri na kusema ukweli juu ya kilichomtokea

    Kiswahili hakina maneno yenye kumaanisha zaidi ya "zidumu fikra za jiwe"
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji(MO) anena kwa mara ya kwanza tokea atekwe na kurejea salama

    Umelogwa na ccm wewe.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mo Ndani Ya Fox News

    Wanafanya jaribio la kuichoma gari,"wanashindwa" inawezekana ile gari imetengenezwa kwa madini ya asbestos. Na eneo walipomwachia haiingii akilini kwani ni eneo lenye ulinzi mkali. Drama nyingine ni kuacha silaha ndani ya gari. Mi naamini " kuchamba sana utatoka na mavi"
  15. B

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Mapovu yanini? Jibu hoja. Kwa nilivyomuona Mo ktk ile clip, upon umuhimu wa kupelekwa nje ya nchi kwa checkup. Alidhoofu zaidi ya Roma baada ya kutekwa na kuachiwa. Mo ana mengi ya kutueleza kuhusu tukio hili, ila najua hatosema chochote kama ilivyokuwa kwa Roma. Labda utawala ubadilike.
Back
Top Bottom