Recent content by Bongo ubongo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Napenda sana utendaji wake lakini kwa hili simuungi mkono hata kidogo. Na kama hatakemewa mapema basi kesho atatokeza sehemu nyingine na kuitaja soda gani anayopendelea kuinywa wenda coca au pepsi, au labda mtandao gani anaupenda zaidi, tigo/voda/airtel/zantel/hallotel'' Kwangu mimi nadhani ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    kuingia urais akiwa na degree na kutoka akiwa professor......
  3. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mwatulole,Geita leo

    nenden tena mahakaman, weu nyii, mnapeenda ushindi wa mezan na picha kamil ndo inakuja.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    xo deep.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kile alichokiongea Sugu katika ziara yake kama Mbunge wa Mbeya Jimboni Kyela(27/12/2014)

    nampenda xana mwakyembe isipokua tu chama anachotokea.....hii taa nyekundu ishamuwakia, 2015 cjui itakuaje.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mshahara huu wanaolipa wawekezaji?

    serikali yetu ni ya ajabu sana, inaacha kutetea wananchi wake inatetea wawekezaji, hawajui mishahara midogo inapelekea kulipa kodi kidogo......mfano raisi wetu anasema tanesco kuichukua mitambo ya IPTL itakimbiza wawekezaji, matokeo yake tunajaza wawekezaji wengi wasio na faida kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa ajira (recruitment agencies) ni chawa anayetakiwa kuvunjwa mapema

    serikali kupitia wizara ya kazi na ajira iliagiza kwamba ni marufuku kwa mawakala wa ajira kuajiri ama kukodisha wafanya kazi kwa kampuni zingine na kwamba kwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria ya huduma za ajira na 9 ya mwaka 1999, sura ya 243 kamailivyorejewa mwaka 2002... Bado...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    MAELEZO NA HOJA BINAFSI YA KUPENDEKEZA BUNGE LIJADILI NA KUPITISHA MAAZIMIO YA HATUA ZA HARAKA ZA KUBORESHA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NA USHUGHULIKIAJI WA MAJI TAKA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA MUJIBU WA KANUNI YA 54 FASILI YA (1) YA KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE TOLEO LA MWAKA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lindi na Mtwara wameshalipiza kisasi

    vijana--vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wazee--shumakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa; embu nenden mkafie mbele uko.
Back
Top Bottom