SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,342
hiyo lak 4 ni baada ya makato au kabla ya makato..
Hujui maana ya Basic Salary?
hiyo lak 4 ni baada ya makato au kabla ya makato..
Allowances nyingine ni 10,000 tu ya vocha kwa mwez hakuna kingine
Serikali iangalie kutunga sheria ya salary ktk haya makampuni binafsi hasa ya nje, na km ipo ilekebishwe maana inaonekana hawa jamaa wanapata favor kubwa sana na faida ya kutosha tena kwa kutumia rasilimali watu waliopata elimu kupitia kod za walala hoi.
Sasa angalia wanaingiza faida kubwa kod kulipa matatizo na bado wanaumiza wa tz. Gvt mmelala sana ebu shitukeni bana.
Mbona hiyo salary ni kubwa sana mkuu, nilifanya interview na watu wanajiita ISON BPO customer care Tigo walituambia dont expect much our package is Tsh 247000= as basic per month, working time is 8hrs per day, kwa waliokuweko ile siku pale nadhani watakuwa mashidi hiyo pesa ilitangazwa kabla ya USAILI kuanza, ahsantenimmh kama ni hivyo.turudi kijijini tu. lak 4 kwa mwez mwasema nyingi
hamna pesa nyingi wala kidogo issue its how unaweza kuibajeti tu tofauti na hapo hakuna kitu ata ulipwe milion na zaidi
Kuna mdau 1 ameuliza unaikataa hiyo(400,000) unaingiza sh ngapi kwa sasa? Wengi wetu unaweza kuta tunasema hatuwezi kufanya kazi ya namna hiyo lakini tumekaa tu hatuingizi kitu! Ngoja nikuambie,mwalimu wangu wa msingi alikua anamsemo wake, " something is better than nothing " na pia maneno ya Mungu yanasema mwenye nacho anaongezewa. Kila mafanikio yanasehemu ya kuanzia,kubali kwenda chini sana ili uende juu zaidi,hizo ni expectactions za graduate,I was once a graduate wa ifm nikitegemea nice job with a package above 800,000. Namshukuru Mungu aliyenifundisha kujitolea,nilianza na posho ya 5000 after two days yani kama 15,000 kwa wiki. Nikapanda mpaka mpaka 400,000 in two yrs ya uaminifu+kujituma. Hivi I'm speaking I'm above 1,000,000. Sasa rafiki hebu tuamue kujituma na kukubali kushuka ili tupande juu. Kuna muubiri wangu aliwahi kusema, " a problem is an opportunity for you to shine". Nendeni mkafanye kazi marafiki,jitumeni na mtafika tu. All the best.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
serikali yetu ni ya ajabu sana, inaacha kutetea wananchi wake inatetea wawekezaji, hawajui mishahara midogo inapelekea kulipa kodi kidogo......mfano raisi wetu anasema tanesco kuichukua mitambo ya IPTL itakimbiza wawekezaji, matokeo yake tunajaza wawekezaji wengi wasio na faida kwa taifa.....tunahitaji watu wenye utashi na upeo sio wazembe kama hawa akina kikwete.