Wakuu bado sijapata Guta, naomba aliye na uwezo wa kulinunua anisaidie anunue anikabidhi tufanye hii biashara, hatakama kuna mtu unajuana nae na anaweza kunipa mkataba basi tusaidiane kuniunganisha nae ili tuweze kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.
Sina maana hiyo mkuu nilicho kadiria kwenye 29000 ni hela ya marejesho ila maana hata ukigawa 200000 kwa 7 unapata 28571.42.. ndio nikapiga approximation ya 29000.
Ila kama muulizaji alitaka kujua jumla ya kipato nachopata kwa siku, jibu ni siku hazi fanani, kuna siku naweza laza 40,50 au zaidi...
Wakuu kama post inavyo jieleza, mimi ni dereva wa Bajaj na Guta mkoa wa Njombe wilaya ya Makete na leseni ninayo. Ninauhitaji na guta la mkataba aina ya Sinoray Q7 kama hili nililoweka kwenye picha.
Dukani Guta hili linauzwa million sita na laki saba (6.7M) Mkataba utakuwa wa muda usio zidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.