Tumekua tukisikia msemo unasema kufilisika huja na roho ya madeni.
Tunaomba ushuhuda kwa wenye uzoefu kama umewahi kukopa au umewahi shuhudia mkopaji akifanikiwa baada ya kukopa.
Habari wakuu,
Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
Katika ulinganishi wa soko la ajira duniani, BSc. Petroleum Chemistry ina uwanja mpana zaidi wa ajira ukilinganisha na BSc. Petroleum Engineering.
Sababu kuu inayofanya Kemia ya Petroli kuwa na wigo mpana ni unafuu wa ujuzi wake kuhamishika (transferable skills) kwenda kwenye sekta zisizotumia...
Habari,
Tunazo 22 Inch LED Ring Light Full Set Zenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu kwa TSH 70,000
✅Zina Mwanga mkali na soft light 💡 inayohifadhi macho!
– zinafaa kwa salon, studio, na content creation, na matumizi ya nyumbani!
📞 Whatsapp: 0687746471
Stoo ni chache...
Habari,
Tunazo 22 Inch LED Ring Light Full Set Zenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu kwa TSH 70,000
✅Zina Mwanga mkali na soft light 💡 inayohifadhi macho!
– zinafaa kwa salon, studio, na content creation, na matumizi ya nyumbani!
📞 Whatsapp: 0687746471
Stoo ni chache...
Mbona wazungu hawapo hivyo? Watanzania wengi akili zipo chini sana. Wazungu wanatengeneza content za kufundisha na wanafanikiwa. Sasa kwasababu wabongo empty head uwezo mdogo wa kufikiri inawalazimu kulete content za kukaa uchi.
Watu wengi bado wanatumia Facebook kama sehemu ya kupitisha muda tu, bila kujua kuwa kila siku mamilioni ya dola yanagawanywa kwa creators wanaopost maudhui yanayovutia. Ukweli ni kwamba Facebook siyo tu mtandao wa kijamii ni soko la fursa.
Kila unapopost kwenye Facebook, huna post tu kwa ajili...
Tatizo la universal pocket Wi-Fi kuonyesha ujumbe wa connected without internet mara nyingi hutokana na settings za mtandao kutokuwa sahihi. Ingawa kifaa kinaonyesha kimeunganishwa vizuri na simu au laptop, inakuwa hakina njia ya kuwasiliana na mtandao wa simu uliowekwa ndani yake. Kawaida...
Kuhamia Windows 11 kuna faida zake na changamoto zake, na maamuzi yako yatategemea sana unavyotumia kompyuta yako. Moja ya faida kubwa ni kwamba Windows 11 imeboreshwa kwenye muonekano na urahisi wa kutumia. Start menu yake ipo katikati, kuna njia mpya za kupanga madirisha (snap layouts), na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.