Recent content by bongo raha

  1. B

    Kuna familia zina laana ya asili

    Kuwa makini hapo unalindwa Kama ngedere ukikaa vibaya wanakupoteza Ila sa iv wanakuchekeachekea tu
  2. B

    Makutano ya rais wa Kenya na tz yameleta amani jamii forum

    Habar Wana jf Binafsi mm mwenyewe Nina furaha sana kuona Kenya na tz wanachangia maada bila kupondana kwan ilikuwa mbaya sana kipindi cha nyuma watu kuombea mabaya ili waanze kupondana hii Aman imeletwa baada ya maraisi Hawa wawili kukutana chato kiukweli hii ndio Eac ya kuombea heri na mafanikio
  3. B

    Hivi kwanini kufuga tausi ni kosa kisheria Tanzania?

    Unaanza vizur unamalia na utumbo
  4. B

    Naomba msaada wa kureset password kwenye website ya RITA

    Kuna uhakiki mpk vyeti si walitoa wao mm acha wanifungie tu
  5. B

    Kenyatta Uhuru kutua Chato

    Akili mgando ndo huyu . Ulikuwepo ? Au uliambiwa
  6. B

    Mke wa Raphael Ongangi azungumza utekaji

    Kwa hiyo alitekewa Kenya au hao watekaji wamepenya mpk Mombasa na kumuachia huko
  7. B

    VODACOM waoneeni huruma wateja wenu , mteja ni mfalme

    Mm niliacha 1850 leo nakuta 480 ukiwapigia hawapokei
  8. B

    Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

    Mm nimeweka Gb1 saa tatu nimewasha whatsap tu saa sita wananiambia nimetumia 90% ya bando saa nane bando kwisha naomba ushauri ni mtandao gani hawana huu ubabaishaji maana nimeweka mb50 sa iv nahisi naweza onekana kesho humu
  9. B

    Wakenya wazidi kuonja joto ya jiwe chini ya JPM.

    Hawa WAKENYA wakanyangwe tu hamna namna
  10. B

    Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

    Huyo mkenya kwa nn awe mshauri wa zito ktk maswala. ya kisiasa wakati ni raia wa kigeni kifungu kipi kinaruhusu ushenzi Kama huu.
  11. B

    Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi, kwanini madini yanakamatwa nje?

    Ww unayo akili hata ya kupeleka mtoto shule fala ww
  12. B

    Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

    Na safari hii tunawabana mpk kwenye chakula mpk waombe msamaha
  13. B

    Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

    SIJAWAHI SIKIA MBONGO ANAJADILI KENYA LAKN WAKENYA KILA SIKU WANAJADILI TZ . NAONA KUNA MTU ANAKANYAGWA KIMYA KIMYA .GOD BLESS TZ. TZ GOOOOOOOOOOOOO
Back
Top Bottom