Recent content by bongo man

  1. bongo man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

    Kuna kadada kalijuwa lishe project kalikuwa na nyodo balaa eti siku kanitext eti kamenumic wakati kakijaga ofisini kanatuonaga kama punda
  2. bongo man

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Tuna twice choice ya kupeleka mageneral zaidi ya wawili kwende kufanya kazi nchini Rwanda vipi nao wangekataliwa?
  3. bongo man

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

    mimi niliingiziwa millioni 250 kwenye akaunti yangu ya NMb ,siku naangalia angalia nmb mobile kutoka ni nunue Bando mdo nashangaa mapesa mengi ila niliogopa sikutoa hata mia kwa kuwa najua sheria za bank ni noma niliishia kuwaringishia MARAFIKI zangu kama mwezi hivi wakala wakaiondoa wenyewe
  4. bongo man

    JamiiForums Tanzania Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

    mimi nimegraduate jana ila nipo kwenye ajira toka 2015 vipi nami umenionea huruma?
  5. bongo man

    JamiiForums Tanzania Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

    kuna kitoto nimekichapa dry kummmaee sijui kimeniachia umeme?
  6. bongo man

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya endapo utakuta dhahabu kwenye shamba au kiwanja chako?

    SIMPLE KAKATE LESENI YA UNUNUZI WA ZAHABU THEN ZUNGUSHA FENSI.UWANJA WAKO THEN.MEGA KIDOGOKIDOGO UNAPELEKA SOKONI.SIMPLE AND CLEAR KUMBUKA HII KAZI.UNATAKIWA UIFANYE PEKEE YAKO IKIWEZEKANA HAMISHA KABISA FAMILIA YAKO PELEKA SEHEMU.NYINGINE HII INAKUWA SILI YAKO WEWE TU NA MCHIMBAJI WEWE TU.
  7. bongo man

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha wasaidiwe kama kundi maalum

    wavuta nyasi tu hao hawana lolote.
  8. bongo man

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    KUNA FUNDI LENU LA TANESCO HUKU IFAKARA LILA RUSHWA NIMELIBANABISHA MA TAKUKURU HADI LITAOMBA POOH MWAKA HUU LILIZOEA KUWAIBIA WATU KWA KUOMBA RUSHWA NDO LITOE HUDUMA LINAITWA ROBERT MPEHO LITAKUWA FUNZO KWA WENGINE HAPO TANESCO KWA KUOMBA RUSHWA.
  9. bongo man

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

    salary advance inakuhusu
  10. bongo man

    JamiiForums Tanzania Kwa kumficha mwenza wako taarifa za fedha zako, Hazina wataendelea kuvuna pesa iwapo utafariki

    mimi pesa zangu nimeziconvert kwenye asset anaziona huko sio kwa,A/c
  11. bongo man

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

    VIONGOZI NJAA TU WOTE HAWA.
  12. bongo man

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kufanya kazi na Mtu anayekaribia kustaafu kwa heshima

    mimi natamani hata nistaafu now.
  13. bongo man

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    umenigusa direct mimi nilivyomaliza level tu nilienda veta coz nilikuwa napenda ufundi umeme japo mzee alitaka niendelee na advance mimi nikakataa nilikomaa 2yrs namaliza tu grade 2 mtaani kila mtu alikuwa ananiita kufix ishu za umeme nikawa fundi wa mtaa nikazoeleka nikawa napiga wiring hadi...
  14. bongo man

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

    cheza na majini tu.
  15. bongo man

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini sio salama, kuna Watanzania wameuawa siku za karibuni

    Dogo langu la mwisho lilienda huko aise niliweka x tu kuwa sasa mwana nshampoteza bahati nzuri karudi juzi anakwambia nchi inanuka damu cha ajabu bro wa pili yupo kule miaka 20 sasa na katusua ila hafanyi kazi nyeusi
Back
Top Bottom