Recent content by bonge junior

  1. bonge junior

    Paul Makonda: Kuanzia 01.03.2019 kila mtu lazima awe na kitambulisho cha machinga au ajira, kama huna we mhujumu uchumi

    Jamani mbona siwaoni wale zidumu fikra za mwenyekiti wakipongeza hili jambo au kisu kimekata mfupa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bonge junior

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Huduma zenu za m pesa zina harufu ya wizi unatuma pesa baada ya hapo sms inayorudi ya muamala haionyeshi gharama ulizokatwa kwa huduma hiyo ukiangalia salio unakuta umekatwa pesa nyingi huo ni wizi hebu rekebisheni hilo tigo kwenye hili wao wako vizuri sana
  3. bonge junior

    Ni hatari kubwa sana mwanaume kumkopesha pesa mwanamke

    Post yako imenistua kweli kweli maana leo hii hii nimemkopesha demu elfu mia moja naingia jamii foram nakutana na post yako duuh nawaza je itarudi kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bonge junior

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom mi mmeniuzi mi nilikuwa halotel nimehamia voda kwa namba zangu za halotel kwa ajili ya offer zenu hasa hasa dar supa uni sasa nina kila sababu ya kurudi home Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bonge junior

    Mwijage: Ndani ya miaka miwili tumejenga viwanda 3,006

    Waziri yuko sahihi maana kwetu mikoroshini tu kuna viwanda 6 vya kutengeneza maandazi je kwa nchi nzima labda alikusudia viwanda vya namna hii
  6. bonge junior

    Haki ya nani sijawai kutana na mdada kama huyu!

    Kwa totoz hazijatumika kwa saana unapata thamani ya pesa zako
  7. bonge junior

    Akihojiwa na DW, Nyalandu asema wengi wamo CCM wanatamani kukihama chama

    Anakuwa mnafiki akishahama chama teh teh teh
  8. bonge junior

    Kujifungua kwa njia ya upasuaji ni biashara ya hospitali binafsi?

    Haujanishawishi kuamini huo utafiti wako navyo elewa ni kuwa hospitali za serekali kina mama wengi hupoteza maisha kwa kuwachelewesha ili wajifungue kwa njia ya kawaida hili nalo hebu lifanyie utafiti
Back
Top Bottom