Recent content by Bonden

  1. B

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Sie wakulima tumeanza kuona faida ya ushirika na mfumo Wa stakabadhi gharani
  2. B

    Wakulima wa kokoa Kyela wafurahia ushirika na ununuzi Wa stakabadhi gharani

    Inawezakana wewe haupo Kyela au upon kwenye kundi LA Njemke, kwa taarifa yako mnada umefanyika tenende chama cha.msingi tarehe 17/10/2018 na hiyo ndio bei ya juu na mnunuzi aliyeshinda ni Olam,sasa kama hujui labda wewe sio mkulima au ni Njemke au ndio upo kwenye kundi la hao viongozi...
  3. B

    Wakulima wa kokoa Kyela wafurahia ushirika na ununuzi Wa stakabadhi gharani

    Habari za kiuchunguzi toka wilaya ya Kyela baada ya kuongea na wakulima na wanaushirika Wa kokoa wamefurahia mfumo Wa stakabadhi Guarani na kuondokana na kampuni za watu.binafsi na wachuuzi Wa kokoa alimaarufu "Njemke" ambao walikuwa wakiwanyonya wakulima kwa kununua kokoa kwa bei ndogo ambayo...
  4. B

    Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

    Huyu mzee bado tu hajaacha usanii wake?karukia kwenye kuwatafutia chakula ile mvua ya kubumba aliyosema ataleta toka Thailand imeishia wapi?Muwe mnajiongeza msifurahie tu sanaa zake muwe mnamkumbusha na mambo ambayo alisema zamani
  5. B

    Godbless Lema Akamatwa Na Jeshi La Polisi Nje ya Ukumbi wa Bunge

    Mbona unaandika huku umejificha nyuma ya keyboard,unafikiri watanzania ni wajinga kama wewe
  6. B

    Naanza rasmi kumsapoti Magufuli, Lowassa angetupoteza

    Bado unaota ndoto za mchana
  7. B

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Ile ya kuosha magari ilikuwa sio event yake walioandaa ni chama cha waandishi wa habari sasa hapo ulitegemea wasipige picha na kutoa habari hiyo
  8. B

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Dr Tulia kama naibu spika hupendi kujionyesha kama hao uliowataja wanaoenda na vyombo vya habari kutafuta sifa
  9. B

    Mheshimiwa Rais Magufuli, Haki huinua Taifa

    Naona povu linakutoka upo nyuma ya keyboard halafu unapiga biti
  10. B

    CHADEMA/UKAWA wamehaha

    Kwani kuna mtu aliwaambia wazibe midomo na karatasi?
  11. B

    Tundu Lissu hajulikani alipo, Dar hajafika, Jana walilala Dodoma

    Katika mawazo yako unajua kazi ya polisi ni nn? Au kwa sababu una akili ya kushikishwa UKUTA
  12. B

    DC Mrisho Gambo wa Arusha amhujumu mkuu wa mkoa

    Wewe ni mnafiki kupitiliza
  13. B

    Rais Magufuli yashamshinda?

    Unafikiri kwa sababu sikubaliani na wewe ndio nasubiria cheo, huo ndio ujinga wenu ambao mnaaminishwa na hao viongozi wenu
  14. B

    Kama siyo mikutano ya siasa, bendera za chama za nini?

    Yatawakuta na mjiandae vzr kushika UKUTA
  15. B

    Kama siyo mikutano ya siasa, bendera za chama za nini?

    Duh kweli hizo ni akili za kushika UKUTA
Back
Top Bottom