Leo nilitaka tufikiri kidogoo kuhusu hii kitu,hizi data ni kutoka kwa coronawordmeter,utagundua kuwa inatangazwa zaidi kuliko majanga mengine kama njaa,malaria etc,mortality rate ni 1.09%sawasawa na 3,909,312 tangu imeanza,kwa njaa ni 4,305,998.data hii ni just in 2021 world wide, sasa...