Hata Yesu alipokamatwa, kuna wengine walishangilia! Tusitafute kujazana ujinga kwa kuaminishana eti Trump kafanya hayo kwa manufaa ya Venezuela na Wanavezuela!
Mungu akusamehe kwa lugha zako za kifedhuli kwa sababu yeyote asiye na hitilafu kwenye mfumo wake wa ufahamu pia anafahamu ni kipi kinahamasishwa na TEC! Na huyo asiye na hitilafu anafahamu kuhamasisha jambo sio lazima jambo hilo litamkwe wazi wazi.
Ni kweli walimpinga hadi Magufuli. Hata hivyo, walikuwa wanampinga kwa dhati ya moyoni kabisa au kwa namna ya kufunika kombe mwanaharamu apite?! Kwa mfano, unaweza kuweka ushahidi hata wa kauli unaoonesha TEC waliwataka wananchi kuchukua hatua dhidi ya uvurugwaji mkubwa wa uchaguzi wa 2020...
Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Mengi uliyoongea ni ya mitandaoni ambayo hata Magu aliambiwa alikwiba 1.5 trillion na kwamba mabilioni ya pesa yalikutwa ndani kwake baada ya kufariki! Vilevile tumeambiwa jinsi magu alivyotumia mabilioni kupendelea nyumbani kwao chato...
Tumezoea kuita ID, yaani Identification Card! Yaani Kadi ya UTAMBULISHO! Kadi inayolenga kukutambulisha wewe huwa haikai uvungu wa kitanda au kabatini au kwenye begi bali unatakiwa kuwa nayo wakati wote!
Huyo hawezi kuwa Mhaya wala Mchaga kwa sababu wote ni watu wa mbwembwe! Hao ni wale from silent regions or tribes! Unakuta watu wana mkwanja lakini huwajui!
WAtu mnapenda sana kujazwa ujinga kama sio upumbavu!! Iran yenye Makanisa na Masinagogi ya Kiyahudi, na Israel inayopiga mabomu makanisa, ni nani hapo mfia dini?
Mkuu, afadhali nimekutana na mtu anayejadili mada kisomi kuliko akina Kalamu ambae ni full kujimwambafai na kujitia ujuaji lakini hamna kitu!
Hata hivyo, achana na habari za zamani! Achana na habari za duniani kote kwa sababu umeshatoa reference ya kisheria, na hapo ndipo tunatakiwa kujikita...
Tukubali wana Lunyasi Uto wana timu mzuri na ndo maana wanapata kiburi cha kuokoteza okoteza makocha. Threat kwa huyu Dogo ni CAF Champions ambayo kwa hali ya kawaida wataingia tu Makundi. Sasa hayo makundi ndo yanaweza kumwondoa lakini xmas itakuwa imeshapita. Labda tuseme pasaka.
Huna cha kutoa fundisho mburula wewe! Kwanza ni Usajili na sio Usajiri! Hata matumizi sahihi ya "r" na "l" yanakupa taabu halafu ndo utake kunipa fundisho? Kwa fundisho gani ikiwa unashindwa hata kuelewa kinachozungumziwa hapa ni matakwa ya Uandishi wa Habari lakini mara zote umeishia kutoa...
Yaani kila wakati unaendelea kuthibitisha ujuha wako! Suala sio ustadi ewe mbumbumbu bali matakwa! Unaweza kuendesha gari kwa ustadi wa HALI YA JUU lakini hiyo peke yake haikupi sifa ya kuendesha gari barabarani basi NI LAZIMA UWE NA LESENI! Hata yule University Graduate, and in fact hata Form...
Angalia ulivyo mpumbavu na mifano yako ya kipumbavu! Hapa kwetu Maprofesa ni Waalimu au Wahadhiri? Hivi una akili kweli wewe? Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini hata kama una non-teaching digrii lakini ili uwe na sifa za kuwa mwalimu inabidi ukasome posgraduate diploma? Btw, ukishakuwa msomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.