Recent content by bombom

  1. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake waislamu wanaheshimu ndoa zao kuliko wanawake wa kikristo

    No research, no right to speak..
  2. bombom

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ackson Tulia, Naibu Spika alikuwaga mnene!

    Ni upuuzi kuanza kumjadili mtu, unless kama umeishiwa cha kuandika. Chukulia kama mtu angeweka picha ya mzazi wako hapa aanze kujadiliwa ungejisikiaje? Kama imefilisika kichwani kaa kimya.
  3. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ndoa zipi zinazoongoza kwa michepuko?

    Aina ya ndoa haiamui au kuhamasisha mchepuko. Mchepuko umekuwa rooted kwenye tabia ya mtu
  4. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana 'mnaoombaomba' hela, imefanya wanaume wasiamini wasichana

    Itakubidi uelewe tu miss chagga
  5. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

    Wewe unaonaje...
  6. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Inaelekea umefanya utafiti wa kutosha na kufikia conclusion hii. Tuambie ulichukua sample ya wanaume wangapi nadi ku conclude hivyo?
  7. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya house girl

    By the way, miss chaga, vipi ma house boys, umeawahi kuwajaribu?
  8. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi tabia zikome huku MMU haraka

    Kina dada mkome kabisa tabia ya kupiga mizinga.
  9. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akilewa anaanza kuongea maneno ya ovyo, je kuna mapenzi hapo?

    Kulewa kwa mtu wake kunamsaidia binti kujua yaliyojificha, na hivyo kumsaidia kufanya maamuzi kuhusu hatma ya mahusiano yao,,, vinginevyo ingekuwa kama usiku wa kiza kujua yaliyofichika.
  10. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rough sex

    I thought you could be a rough rider miss chagga
  11. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walioko kwenye 30s

  12. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walioko kwenye 30s

    Heaven on Earth ? hapana,..... mi najua wewe ni above 20's
  13. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aibu hii mpaka lini midume?

    Naomba ni- pm tafadhali@Leomimi
  14. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimemwacha mpenzi wangu lakini nashindwa kumsahau, nifanyeje?

    Fanya kazi kwa bidii.... kama ni professional fanya consultancy works za nguvu, pata pesa nyingi badili maisha, na mwonyeshe kwamba kwa sasa unazo. Hakuna asiyependa pesa, atakufuata tu.
  15. bombom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

    Hii calc. kali. umesahau nusu kuku na ndizi mbili kwako.
Back
Top Bottom