Recent content by BOMBAY

  1. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Hayo ni matokeo ya kata moja tu, vituo vingine vinavyoendelea kutangaza anaongoza mbunge wa Sasa kigoma
  2. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania SoC04 Typhoid, ugonjwa unaouzwa kama nyanya na hospital binafsi

    Nitafute nikutibu typhoid kwa gharama nafuu, siku Tatu tu zinatosha kupona. 0617542144. Ukipona uje hapa utoe ushuhuda
  3. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Suala la ulaya kujua mipango ya kumuwekea Lissu sumu inaonesha kuna majasusi wao wa siri ndani ya mfumo

    Hivi Wewe bwana umeshindwa hata kujiuliza kuwa Hao wazungu wanataka nini Tena hapa Tanzania ilihali karibu Kila kona wapo na wanakula rasilimali zetu wanavyotaka? Mzungu hufitinisha pale anapoona maslahi yake yanakanyagwa. Sasa unataka kusema serikali hii ya Samia na jk inakanyaga maslahi ya...
  4. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Embu tuchambue Siasa kidogo kutokana na haya matukio

    Mtoa post huna hoja zaidi ya upofu. Kanawe uso!!
  5. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

    Yaani wasanii wakifanya shughuli zao za kimuziki kariakoo wala hakuna shida, Ila chadema ndio shida dah Tanzania
  6. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Hili kundi dogo sana linalopinga Reforms katika Nchi yetu lina nia gani kwa Tanzania. Ni akina nani?

    We matako hebu kaa kimya mjinga Wewe, mimi ni raia wa kawaida sana Ila nachukizwa mnoo na jinsi viongozi watawala wanavyoiendesha nchi😭, hebu kaa kimya kama huna cha kuongea, raia tumechokaaa
  7. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Akaunti za Freeman Mbowe zimedukuliwa? Kwanini hajapost chochote kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu? Ni kinyongo au gubu?

    Hili ndilo tatizo linalowatafuna team mbowe na mbowe mwenyewe. Mliaminishwa kuwa mbowe ni alfa na omega. Na bado hamtaki kuamini kuwa zama zimebadilika.Wametukanwa kina kikwete lakini mpaka leo CCM bado haijayumba
  8. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

    Leo tu, nashuhudia kuwa hii ni Mada ya Tatu toka kwa watu tofauti wakiusema vibaya uislam. Hamchoki???? Mbona waislam wamekaza kimya?
  9. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka kufikia Oktoba 2025, CHADEMA watakuwa wamefanikiwa kutangaza njia za kujipatia pesa tu na sio kutafuta kura na kushinda uchaguzi

    Laiti ikitokea uchaguzi ukafanyika kwa huru na haki, basi hata kama chadema wasipifanya kampeni au wafanye kampeni siku moja tu kabla ya uchaguzi, na kuhakikisha CCM watagaragazwa vibaya mno na wananchi. Kiufupi tumewachoka mnooooo viongozi na CCM yao. Hivi Kuna alieshituka kuwa CCM na...
  10. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Maji, elimu, afya kote huko mmefeli, wananchi tumewachoka hatuwataki
  11. BOMBAY

    JamiiForums Tanzania General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

    Licha ya uwepo wao lakini nasikia Kuna mapandikizi kibao ndani ya nchi na serikalini Tena wengine wapo ktk ngazi za maamuzi. Swali ni je walipenyaje mpaka kufika huko?
Back
Top Bottom