Recent content by Boli linatembea

  1. B

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Haya madude wanaficha wapi?wanachapwa sana ila hayaishi, us na israel wakitaka ushindi wapige wamalize hivyo virushia makombora, hapo Iran watasalimu amr la sivyo sion wanamaliza vipi hii vita
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo ukiweza kujitegemea basi unaweza kusurvive popote duniani

    Huu ni ukweli mtupu...hao Wananch ni balaa kwenye kusaka pesa na yana akili acha kabisa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imefuzu 16 bora AFCON kama best looser?

    Gabon akishinda kesho itakuwaje?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa salamu za Krismas kwa Wakristo wote!!

    Netanyahu kawaonya pia Nigeria, hayo magaidi sio muda yatafikiwa bumbavu!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

    We ni akili kubwa nimekubali, irudi kutoka wapi? Watu wanakosea sana umejenga kwa Milioni 100, 2010 We ni akili kubwa nimekubali, ni njia salama ya kuhifadh pesa yako,kama umejenga kwa M100, 2010,pesa yoyote unayopokea kuanzia hapo ni faida kwa sababu 2020 ukiuza utapata M200,pesa yako si imerud?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani? Maana dawa zote zimedunda

    Nenda Ekenywa Magomeni pale kuna wataalamu hasa
  7. B

    JamiiForums Tanzania AMKENI! AMKENI!: Operation Komboa Venrezuela Imeanza

    Tunawakula sana tu huku +1
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Bado password tu, na ujiandae kuwekewa sumu ya panya ufe taratibu abaki na hizo pesa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    No 3 ya msamaha inaweza kua kweli , kwao kuna maisha magumu na alikataa kabisa kurudi kwao ilibid nitumie nguvu ila baba ake alimkataa akasema sheria nikae nae mpk mda wa uangalizi upite so tulienda kwao ikabid tugeuze nia yangu ilikua nimtupe huko miez 6 ajue uchungu wa kutafuta pesa ndo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Hii stori ni ya kweli, huo wote ni mtiririko wa matukio yake niliyoyahisi kabla sijaambiwa......kuna siku inaweza kukutokea wewe ndo utajua
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Sababu habari ipo kwa kiswahili.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    No mimi sikukuta mtu, usiombe inauma.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Hii ni stori yangu kabisa si kila kitu ni mzaha inaweza kukutokea na wewe siku moja.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Ooooh pesa yako tu....mwanamke yoyote muhindi, muarab,mzungu n.k chaguo lako
Back
Top Bottom