Recent content by Bolaji

  1. Bolaji

    CHADEMA mmejipambanua kumjibu Katambi, jibuni na hili la kushindwa kusimamia bajeti ya msiba

    Ishara ya kukosa Vision. Kwa maoni yangu alipaswa kuzungumzia atakisaidia vipi chama alichojiunga nacho hasa katika yale ambayo akiwa upinzani aliamini ni mapungufu makubwa.
  2. Bolaji

    Wakala wa majengo nchini (TBA) yatoa ufafanuzi baada ya kupatikana nyufa katika Hosteli za chuo kukuu cha Dar(UDSM)

    Nonsense! Ukisikia akili imebinafsishwa ndio kama hii. Engineer coming with such an idiot reasoning.
  3. Bolaji

    Hivi kweli tutajenga viwanda au ndiyo tutaishia kusajili wanachama kutoka kwenye vyama

    Hawa wanaohama kwa kigezo cha kuridhishwa na utendaji sijui blah blah blah inawezekana kabisa ukawatekelezea majukum ndani ya ndoa zao na wakahamia kwako vilevile kuunga mkono jitihada zako. Non sense!
  4. Bolaji

    Ushindi Mnono Shamrashamra hakuna, Je ni aibu ya kujitangaza kwa mabavu?

    Tunapoelekea ni kutambuana na kuheshimiana kivyama. Kunyoosheana vidole yule ni CCM na yule ni upinzani. Kupendana na kujaaliana kivyama. Mkuu wa nchi tunaomba tusifike huko.
  5. Bolaji

    Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Ni wakati sasa watanzania kufunguka macho na akili kuweza kutambua nani ni nani. Kwa haya yanayoendelea kujitokeza kwa sasa hayahitaji elimu ya chuo kikuu. Kumtambua mnafiki, mfitini hakuitaji elimu bali uwezo ambao mwenyezi Mungu alikuumba nao. Uwezo wa kujua jema na baya (Intellect). Maamuzi...
  6. Bolaji

    Kuna dalili kuna siku watanzania watashangilia kama Zimbabwe

    Wenye kwenu kwaheeri eee kwa heri kwa heri nawatakia maisha mema kwa heri kwa heri In Waziri Sonyoz voice
  7. Bolaji

    Define the picture

    Haikuwa kazi ndogo. Hii ni dalili kwamba dogo alijawa na kitete.
  8. Bolaji

    Tunajifunza nini kwa yaliyomtokea Mugabe?

    Nchi ni ya wananchi
  9. Bolaji

    Baada ya kumkumbatia Makonda , TVE yaanza kupoteza watazamaji

    Alikuwa rafiki wa clauz wakasema amevamia hawataki kushirikiana nao kahamia kwingine atatenda kosa lingine mtasema mengine unafiki wa watanzania ni mkubwa kuliko akili wanazo tumia kujitafutia mkate wa kila siku Usisahau vile vile akiwa rafiki wa Clouds alimtuhumu mmiliki wa E FM/TV ni muuza...
  10. Bolaji

    Utetezi wa Nyalandu atautoa Kisutu TAKUKURU wakimaliza kazi ila Kwa Sasa Asubiri Kwenda Segerea

    Unafiki ni dhambi mbaya sana, na dhambi hii haitatuacha salama.
  11. Bolaji

    Usiogope wanavyomshangilia

    "The challenge of leadership is to be strong, but not rude; be kind, but not weak; be bold, but not bully; be thoughtful, but not lazy; be humble, but not timid; be proud, but not arrogant; have humor, but without folly." - Jim Rohn
  12. Bolaji

    CCM, tutawapuuza muda si mrefu, Hii kuwasema watu baada ya kuwakimbia si sawa

    "Kwakuwa mmekuwa madarakani tangu kuanzishwa kwenu mwaka 1977, hamuwezi kusema kuna mahali kuna majizi mengi kuliko nyinyi kwakuwa mko wengi". Hapa ni kama umekubaliana na hoja ya Nyalandu kwamba "CCM imeshindwa kuisimamia dola" au siyo Bw. Mselewa?
  13. Bolaji

    Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....

    Ipo siku yatakwisha
Back
Top Bottom