Recent content by bokoharam007

  1. B

    UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

    Lakini habari halisi ambazo JPM kumtoa Mkinga Sanga kwenye ofisi kutoka vyanzo vya habari halisi ni kwamba huyu ameamua kuongeza mishahara ya watumishi wa PSSSF mipya pasipo kibali kutoka serikali kuu ndo maana JPM akaona huyu jamaa ni mshenzi na mpumbavu ananicheza sio tumbu!
  2. B

    UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

    Najua JPM anasafisha harufu za Lowassa, kwani Sanga alikuwa Lapf na Mmasai Lowassa ndiye aliteua huyu alipotoka NSSF na kupata Post ya LAPF na hapa JPM akasahau kuwa Sanga ni product ya Lowassa ndo akampa PSSSF lakini akakukumbuka kuwa hata Irene Isaka (ex SSRA CEO) pia alikuwa shemeji kwa mke...
  3. B

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Huo ndiyo uhalisia! Nchi lazima ifike mahala iheshimu uhuru wa kila kitu sio kutumia dola kubana uhuru basi uhuru tulioupata mwaka 1961 utakuwa hauna maana. We better allow rule of law operates in the country without discrimination according to the Constitution. Challenges must be faced and...
  4. B

    Bernard Membe kajiharibia sana. Angekaa kimya mpaka 2025, umri unamtupa kulingana na Katiba?

    Lakini Wa-Tz bwana huyu Musiba ndiye atuambie hizi habari za Intelligentsia ameziapata wapi kwa kutumia gazeti lake la Tanzanite mimi ninge kuwa Prof. Bashiru ningeanza na Domo kaya Mzee wa kutunga mineno Musiba Msiba mtarajiwa??
  5. B

    Yaliyojiri kikao cha Rais Magufuli na Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaRCs, MaRAS na TRA

    Kweli Tanzania tunao wataalamu wa Kodi na huyu CEO Kichere ni BCom (Acc) holder sasa hiyo post imemvaa yaani ni maji shingo kwa kusema ukweli sijui hata vetting kama ilifanyika kwa uteuzi wake sasa ndio faida ya Utemi wa JPM. Comparative analysis sijui alizipata wapi na sijui kitengo cha...
  6. B

    Access Bank yafanya mabadiliko kuendana na hali ya sasa, matawi kuunganishwa

    Ni kweli nashangaa Prof. Ruta ambaye ni mshauri wa uchumi wa Magu kuwa nchi inapotea ktk ramani ya uchumi wa tatu na kuwa fourth world au hakuna kabisa!
  7. B

    Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia

    Sasa vyuma vimebana sana JPM ndio anaitwa mtetezi wa wanyonge kwa hii ni kweli??
  8. B

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Hapana huyu anaitwa William Erio alikuwa PPF Kama DG na ndie alikuwa anapata 500 mil na ambaye ni mjomba wa Ben Mkapa. Upofu na propaganda zilianzia PPRA kuwa NSSF wanamefanya manunuzi bila kufuata sheria kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Lumbanga ambaye alikuwa Katibu Kiongozi wa Mkapa Ikulu...
  9. B

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Huo mradi kiwanda cha sukari na kulima miwa umefanywa pamoja kati ya PPF na NSSF. Na mwisho wake ni huo alafu Magu ni kigeugeu sana kwani aliwahi kusema PPF majengo yao ya Arusha yamepangishwa below 20% sasa leo hii tena anamteua mjomba mjomba wa Ben je hiyo ni Good Governance? au Nepotism?
  10. B

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Huyu Prof Ex DG wa NSSF alikosea sana kumuweka karibu na kufanya mradi wa pamoja wa Sukari kule Morogoro na hakujua lengo la Erio ilikuwa ni kupeleka umbea kwa uncle Ben na alafu Magu kupewa umbeya ambao umemgharimu Prof Kahyarara. Alafu kweli vetting Tz ni kichekesho kweli kwani W Erio...
  11. B

    Kutoka NEC ya CCM: Mrithi wa Kinana ni Dr. Bashiru Ally. Apitishwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM

    Mzee wa Ndoa Tata na Watoto wa walipotelewa na wazazi wao??
  12. B

    Uchimbaji wa Kokoto Gezaulole, Kata ya Sumangila Inazidikuteketea: RC, (DC - Diwani ???) Mnafanya nini?

    DC, Hashimu bado ni mbishi ana kiburi sana kwani bado haya makatapila yapo sites na yanachimba kokoto na kusafirishwa na malori usiku Rais JPM, RC and NEMC mnafanya nini na haya madudu ya DC na Diwani wa Gezaulole????
  13. B

    Uchimbaji wa Kokoto Gezaulole, Kata ya Sumangila Inazidikuteketea: RC, (DC - Diwani ???) Mnafanya nini?

    Sina shaka Rc Makonda atakuwa na majibu mazuri kutoka kwa Dc Mgandilwa kuwa kwann uchimbaji wa kokoto yaani dhahabu kutu unaendelea wakati zuio la kuwa hayo sio machimbo ni makazi (settlements)!
  14. B

    Uchimbaji wa Kokoto Gezaulole, Kata ya Sumangila Inazidikuteketea: RC, (DC - Diwani ???) Mnafanya nini?

    Hii ni hatari Wizara husika mazingira siyo salama kule Kigamboni Gezaulole?
Back
Top Bottom