UTEUZI: Hoseah Ezekiel Kashimba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu PSSSF

Hoja yako ni nini hapa? Na wewe umeamua kupayuka?
No mkuu hoja ni kufanya mambo kiuendawazimu halafu mengi yanakuwa hayana tija mwisho unaanza upya na bado yanakuwa hayana tija,
Lazima mtu utulie kabla ya kufanya maamuzi, maamuzi ya kukurupuka yana madhara tele.iko siku utaungana nami kupiga vita ukurupukaji ila itakuwa too late maana gharika litakuwa limeifunika nchi tayari.
 
Kwaiyo waimba kwaya wakiteuliwa meno yenu yote njee Kama mnyama ngiri

Hapo angekuwa kateuliwa Ustadh na Tena na Rais muislam mngeona jins POVU na mishipa ya shingo jins vile ingewasimama.

Roho mbaya Sana jamaa...utadhan NChi hi yenu pekeee

Tumewaachia Basi Muongoze NChi nyinyi wasomi na waimba kwaya

Ongozeni NChi Tuone.
Utateseka sana, maendeleo hayana dini wala chama
Ila hata Samia anahimiza sana waislamu kuwekeza kwenye elimu ya darasani
 
Halafu huyu jamaa Hosea Ezekieli katoka Nssf alikua internal auditor

a tree is known by its fruit
Walio mteua wanasema alikuwa MKURUGENZI WA UKAGUZI WA NDANI, wewe unasema alikuwa Internal Auditor! Which is which na nani anasema ukweli hapa au uongo hapa?!
 
Walio mteua wanasema alikuwa MKURUGENZI WA UKAGUZI WA NDANI, wewe unasema alikuwa Internal Auditor! Which is which na nani anasema ukweli hapa au uongo hapa?!
kumbe huku JF tuna watoto wa Primary?
jamani Hoja iliyo mbele yetu ni nzito mtu unashindwaje kuGoogle Internal Auditor au External Auditor
 
Kapewa bonge la mtego, huu ni mfupa alioushindwa bwana Sanga
a tree is known by its fruit
Tukiacha Ukabila, hapo kuna kafukuto na kwa vile alikuwa Internal Auditor na wakaunganisha mashirika kuna kitu kakifukua au atakibadili.
Kule kwa Sanga walijikopesha sanabaada ya kuona hakuna Marejesho ya mikopo ya Serikali, km UDOM, Bunge (ambapo iliyorejeshwa ni Jengo la Bunge la zamani) mikopo mimgi ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ambapo kwa mmoja tu alifikia 1bn, na marejesho ni Mshahara kila mwezi na mafao, walio chini walivuta hadi 700m kwa mkopo wa nyumba 2 hadi 3
Kwa huyu Internal kweli atazirudisha hizo hela na atalipa Mafao ya wafanyakazi
Nimemwamini maana kutumbuliwa kuko palepale km Kitwanga
 
Lakini habari halisi ambazo JPM kumtoa Mkinga Sanga kwenye ofisi kutoka vyanzo vya habari halisi ni kwamba huyu ameamua kuongeza mishahara ya watumishi wa PSSSF mipya pasipo kibali kutoka serikali kuu ndo maana JPM akaona huyu jamaa ni mshenzi na mpumbavu ananicheza sio tumbu!
 
kumbe huku JF tuna watoto wa Primary?
jamani Hoja iliyo mbele yetu ni nzito mtu unashindwaje kuGoogle Internal Auditor au External Auditor
Hiyo hoja ya Internal na External Auditor iko wapi? We are talking about whether the appointee is or was a Director of Internal Audit Dept. or he was a mere Internal Auditor!? That is the issue at stake.
 
Hiyo hoja whether the appointee is or was a Director of Internal Audit Dept. or he was a mere Internal Auditor!? That is the issue at stake.
kwa vile ni swali la kimtego na ukijua ni nini kinafanyika katia Pool yao ya Wakaguzi (kitengo cha Ukaguzi wa ndani)
Nipende tu kumshukuru aliyemteua kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika, kwani kapiga jiwe lisiloweza kuepukika iwe gizani au kwenye mwanga.
Nianzie tu kwa wanachama hasa Walimu waliokuwa wakistaafu mfano aliyekuwa akipewa 75 milioni take home anapostaafu iliamriwa apewe 15milioni isiyotosha hata kujenga nyumba na huenda angekufa kabla ya kufaidi mafao yao
Shirika lilijenga UDOM kitengo cha Sayansi ya Jamii na vitengo vingine kwa mabilioni Bunge, mashamba ya chai kukopeshana kwa watu wasiohusika na mfuko huo km Viongozi Wabunge hata na Wafanyakazi hela isiyolipika hata wakistaafu au kutaifishiwa dhamana.
SASA
ndio Mkuu akamchukua aliyeko ndani ya Pool ya Internal Audit (awe Mkurugenzi au mapanga mafaili) atafichua kila kitu kiko wapi na kifukuliweje ili hawa wachangiaji wanyonge walioliwa pesa zao bila Riba kwa kigezo kuwa mpaka wafikishe miaka 50 ndipo wapewe mafao yao kwa Mashirika haya yaliyozamisha pesa yote iliyozama Kigamboni Bridge, Dege Estate miradi hewa Arusha na hii ya LAPF
Kishimba ndio suluhisho aliloliona Mkuu mpaka kumteua
 
Moja ya kitu kinachorudisha nyuma maendeleo ya hizi taasisi na mashirika mengi ya serikali ni hizi teuzi. Tunakuwa na watu wasio na uwezo ama wenye wenye uwezo ila wanafanya maamuzi ya kujikomba na kujipendekeza. Huyu bwana tangu ameteuliwa kuwa DG wa PSSSF kwa msaada wa mtoto wa mjomba pale hazina, maana ni marafiki hawa. Amekuwa anawafustrate wafanyakazi kwa njia tofauti.Ni mtu mbinafsi mno, anajifikiria yeye zaidi kuliko anawaongoza. Yetu macho. Muda utakuwa mwalimu.
 
Teua tengua, tengua teua ndio kazi pekee anayoiweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusimamia vizuri rasilimali zote za nchi,kuanza ujenzi wa SGR,kujenga na kukarabati vituo vya afya,kukarabati viwanja vya ndege,kukarabati shule kongwe za sekondari za serikali,ujenzi wa barabara,kupeleka umeme vijijini (REA),kuongeza uwajibikaji kwenye utumishi wa umma,kuondoa wenye vyeti fake and not forgetting The Stieglers' Gorge ofcourse nk.nk..The list is long.Yote haya huyaoni kweli?Acheni husuda jamani.Rais wetu anafanya an excellent job.
 
Baada ya kuteuliwa na yeye alimteau mdgo wake anaitwa daudi kishimba na kumla cheo kikubwa hapo shinyanga ila jamaa ni form six liva namjua kimkumdumkumbu kijana mmoja hajielew
 
Baada ya kuteuliwa na yeye alimteau mdgo wake anaitwa daudi kishimba na kumla cheo kikubwa hapo shinyanga ila jamaa ni form six liva namjua kimkumdumkumbu kijana mmoja hajielew
Alimteua mdogo wake na kumpa cheo kikubwa ndio nini maana yake? Hebu eleza hicho cheo ni cheo gani? Mmejaa majungu majungu tu!
 
Moja ya kitu kinachorudisha nyuma maendeleo ya hizi taasisi na mashirika mengi ya serikali ni hizi teuzi. Tunakuwa na watu wasio na uwezo ama wenye wenye uwezo ila wanafanya maamuzi ya kujikomba na kujipendekeza. Huyu bwana tangu ameteuliwa kuwa DG wa PSSSF kwa msaada wa mtoto wa mjomba pale hazina, maana ni marafiki hawa. Amekuwa anawafustrate wafanyakazi kwa njia tofauti.Ni mtu mbinafsi mno, anajifikiria yeye zaidi kuliko anawaongoza. Yetu macho. Muda utakuwa mwalimu.
Hata ukiambiwa uthibitishe huwezi, acheni majungu majungu yasiyo na maana!
 
Back
Top Bottom