Recent content by bokelo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Inategemea na malengo yako kwa mfano kuna watu wanatoka mikoani wanakuja dar kutafuta maisha kuna wengine wanafanikiwa na kuna wengine wanarudi mikoani wakilalamika Inategemea na unavyojituma..
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli aliongea na Mh. Waziri Kigoda akiwa ICU!

    Hahahaa kusema kweli kama kuna watu watamchagua huyu jamaa inabidi wakapimwe akili
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

    Yaani hata kudanganya hamjui?? CCM inakufa mateso yanakwisha
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Mkutano wa Magufuli

    Hahahaa yaani ccm imekua ya akina wema sepetu na kusomba vichaa kwenda kwenye mikutano yao na wenye akili ni lazima wajitoe ufahamu kwa kunywa viroba ili wahidhurie mikutano ya ccm.. Chama kimekufa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe rudisha hela zetu

    Hahahaaa ulilazimishwa kuchanga... Okay nimeelewa itakua hujameet target ya matusi ili ulipwe manake ofisi masaki afu unakula bure lazima umeet target... Mna kazi.. Ila kazi zingine buana.. Manake hutofautiani na shoga..
  6. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 14 zijazo, UKAWA itakufa rasmi na kubaki kuwa historia

    Ok tusubiri hiyo October 25.. Manake siku zinavyokwenda ccm wanatumia nguvu kubwa lakini wananchi ndo wanazidi kufunguka aisee..
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

    Mbona ccm imebinafsishwa kwa baba Riz...?? Bado hamjastuka hahahaaa kweli bongo lala..
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

    Ngoja tuondoe mfumo kwanza ambao ni ccm then tutadeal na watoto wake...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi?

    Kusema kweli ni ngumu sana kwa wao kupata hizo kura hata milioni 2 tu kwa sababu pale BOT, NSSF, NHIF bado hazifiki pale wafanyakazi wote ni kama 700 tu.. Wanajaribu na za walimu mwaka huu wajiandae tu kuachia kiti.. MABADILIKO
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Hebu cheki Mwananchi news paper..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Huyu janga lao ni tatizo ndani ya ccm manake nae ni team lowassa indirect kila cku anapenda kumpigia kampeni lowassa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Benki Kuu ya Tanzania

    Mh! Labda uwe na kadi ya ccm..
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    Panua ubongo kabla ya kupanua mdomo... Simple answer ni coincidence..
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Mr chin panua ubongo kwanza kabla ya kupanua mdomo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli anajinadi yeye kwamba ataleta mabadiliko badala ya chama chake - CCM?

    Tunamlaumu JK kwa sababu maisha bora aliyaahidi imekua kinyume.. Tunamshangaa magufuli anavyojitoa ccm wakati aliapa kuisimamia ilani ya ccm na kuilinda na tunaamini katika mabadiliko kwa sababu ccm imeishiwa pumzi
Back
Top Bottom