Recent content by boga89

  1. B

    Utajiri wa kishirikina unavyotesa wengi

    Na kuna utajiri wa majini pia
  2. B

    Wasanii Watano (5) Bora Zaidi Kuwahi Kutokea Katika Bongofleva

    1.Necha 2.Profesa 3.Inspekta haroon babu 4.Dully 5.Ladyjaydee
  3. B

    Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

    Na yule jamaa aliimbaga na nature ile nyimbo ya tina,kuna doro aliimba radhi" yangu wewe namba 1 nakupenda sana si utani usi sikilize ndembwenge za jirani'dah hii mpaka kesho naikumbuka Na wale jamaa walo ombiga'wanawake wazuri zuri wameolewa wamebaki madunga liembe wanaangaika hii ili...
  4. B

    Hawa ni wasanii waliohit na ngoma moja na kupotea

    Kosa la marehemu baba hakuvaa ndom hii ilikuwaga noma enzi hizo
  5. B

    ist for sale 6.5m

    Picha babaa..au ndo tunauziwa mbuzi kwenye gunia
  6. B

    Kuelekea mechi ya Simba vs Yanga: Karatasi yenye maandishi ya Kiarabu yafukuliwa Uwanja wa Taifa

    Duh kazi ipo..kama kweli ndo maana mpira wa kibongo haufiki mbali
Back
Top Bottom