Recent content by Boga

  1. B

    Wizara ya afya na ulinzi warushiana mpira juu ya posho za madaktari wanajeshi

    Kama ni kweli basi tunaenda kuzuri kama si kinyume chakee :lol:
  2. B

    PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

    Nashukuru Sana kwa picha tuliombali tunapata hamasa sana kwa kuona mambo mabalimbali kama haya!! Tumeamua kubadilika
  3. B

    Hati ya mashtaka waliosomewa chadema hii hapa

    Tukio limetokea nyanda yenye wachaga wengi halafu wewe unataka kuwe na 90% ya wanyakyusa? Kabla hujatoa takwim zako fikiria mazingira ya tukio kwanzasio unaropoka tu!! 90% are chagas unataka wawe wa Ngoni?
  4. B

    GE2010 Kweli Morogoro wamelala....

    Nyie achen akili za watu wa moro mnazijua lakini? Kuliko amka ni safuu hii ya Kihonda ambako wakazi wengi sio wazawa wa mkoa huo. Ila kungine huko ni nyaaaaa tupuuuuu. hovyo hovyo wakipea shi mia tano tuu basi wanaanza kuabudu waliyowapa.
Back
Top Bottom