Recent content by bobzenden93

  1. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Taja msanii unayekaa naye mtaa mmoja ila sasa kawa choka mbaya

    Shino bado anashinda saluni tu?
  2. bobzenden93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

    Aiseee ndo maana mnanywewa midawa miviagra maana hamridhiki nyie watu? Hamuoni huruma kitu kinasimama bila miguu.. Mnataka kisimame usiku kucha
  3. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa hormone ya testosterone kwa mwanaume wa miaka 32.

    Nani kakuambia testosterone ni hormone zinazohusika na kuzaa. Hizo ni hormone zinazohusika na uchochezi wa wewe kufanya tendo la ndoa, Kama ulitaka kupima uwezo wako wa kuzaa ungeenda kupima sperms hizo. Waone ka zimekomaa na ziko vizur au kuna uwalakini. Anyways range ya 9.7 hiyo itakua out of...
  4. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Baba we jigegede na mapuli unachofanya ni kukidhalilisha chama kionekane kibaya... Chaputa never die, unatusaliti
  5. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

    Mtoa post unatufanya sisi watoto wadogo nini. Hebu leta vitu kwa fact, sio kutupostia vitu visivyo na uhakika kwa kua tu liubongo lako limekutuma hivo
  6. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Tukifuta mfumo wa Indirect qualification kuingia chuo kikuu basi wafuatao wakarudie mitihani yao

    Bora tu wafanye hivyo, kiukweli hii njia ya diploma kujiunga chuo kikuu bila kupitia form six inazalisha wanafunzi vilaza eti MTU Ana D NNE form four naye anaenda kuchukua certificate kisha diploma ambayo IPO kiujanja ujanja tu... Zamani ukiambiwa mtu yupo chuo Ujue yupo chuo kikuu kwel hata...
  7. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kwa niaba ya chaputa wote kijana aliyepost Uzi huu tunampokonya kadi ya uanachama. Sisi chaputa tunasema, umetudhalilisha.. Hivyo ni lazima tukuchukulie hatua za kisheria. Kifungu namba 77b cha mwaka 2006 kipengele cha nne kinasema yoyote atakayekidhalilisha chama na kuyaanika mapungufu yake...
  8. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Watu wasingejenga
  9. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Watu wasingejenga
  10. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya, Pesa imeadimika na Bei za Bidhaa bado ziko juu!

    Ni ukweli usiopingika kwamba hali ya sasa ya maisha ni ngumu. Tofauti na miaka ya nyuma. Mwaka mmoja wa Rais Magufuli ni successful kwa takwimu za kiuchumi lakini si kweli huku mitaani. Hapa inanifanya nimkumbuke mwalimu wangu aliyenifundisha kwanini per capital income sio kigezo sahihi cha...
  11. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuongeza uzalishaj mbegu za kiume

    Kuna kitu kinaitwa macca powder kuna MTU alikua anatangaza kuuza hapa jf.. Ila ukiiona post hiyo tafuta na utumie. Haina madhara unaweza kuigoogle ukaiona mwenyewe. Nchini Peru wanakunywa hadi watoto Ina faida nyingi ikiwemo kuchochea hormones za kiume na kuongeza sperms count na pengine kutibu...
  12. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Snoop Doggy ndie msanii kutoka nje atakayetumbuiza kwenye Fiesta Dar

    Chris brown Kala bilioni moja ya kitanzania haya niambie ka ubavu huo wanao??
  13. bobzenden93

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016

    Na mimi pia tupigwe wote
Back
Top Bottom